Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Hatimaye mwenyekiti arudi kwa kasi,

Waliojikaimisha nafasi kihuni matumbo joto,
Vijana wa chuga watajwa,

Yadaiwa walimzushia kifo kama Balali,

Adhabu yao ni siri kubwa.
 
Hatimaye mwenyekiti arudi kwa kasi,

Waliojikaimisha nafasi kihuni matumbo joto,
Vijana wa chuga watajwa,

Yadaiwa walimzushia kifo kama Balali,

Adhabu yao ni siri kubwa.

Ulipotea walikuwa wanakusaidia majukumu.
 
Kazi iko hapo kwa aliyemwangusha paroko,, inasemekana mapenz yao yalikolea hadharan huko JF group hapo mtumishi wa Mungu paroko akashindwa kuhimili mihemko ya mwili na kujikuta akisaliti utumishi na kuangukia kwenye penzi la mwanadada Valentina
Hello...
 
Hiyo ya Kasinde Kiboko..kama ile ya Chamilion anapenda vitu vya bei ghali akampeleka kigali akamtoroka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…