Udaku Special 2nd Edition!! Limesheheni....

Tized unamsikiliza huyo mchafuzi Ntuzu
yeye kashamaliza JF nzima sasa anaona wewe kupata barafu wa moyo wako ni issue ndo maana anakuharibia
We fanya tathmini yako bana uweke kifaa n.dani achana na huyu mchafuzi na anakuonea wivu maana kule kwa ladyfurahia bado kunasuasua hakujakaa njema bado hajakubaliwa kwa hiyo hataki aone mtu mwenye furaha
 
Last edited by a moderator:
Mfupa aliouacha Mr Rocky Mzee Wa fujo Tized utauweza Kweli?

Hahahaaaaaa!

anauweza kabisa, upole na uzuri wa Dena ni wakujivunia. sababu alizozitoa hapo juu mzee wa rocky hazina ....... na ni vizuri tukamua alert asirudi nyuma tena!!
 
Last edited by a moderator:

ooh! uko vizuri sana kwenye uandishi mkuu
ur among the good resources we have here...
 
Last edited by a moderator:

ha ha ha .... love is kind
 
Last edited by a moderator:
kwani si,kunakuhusika kwa aina nyingi..
kama uliona na ukaupinga ndiyo kuhusika kwenyewe huko...
kumbuka kuna uhusika positive na negative...
measure ur self from there...



Waooh nimekuelewa mwandishi wetu hapo sina kesi na wewe umejieleza vizuriiiii...
 
Hahahaaaa... amna kitu kaka, nimejaribu tu kukuiga apo, Uandishi wako ni sisimshi na chekeshi sana, and inteligently presented. Ngoja nikafanye reference check ya Dena Amsi kwanza.

ooh! uko vizuri sana kwenye uandishi mkuu
ur among the good resources we have here...
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…