Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ulikuwa hujui? tena ndoa ya miaka zaidi ya tano...
Mkuu kiwatengu asante sana kwa gazeti, nami nimeshajipatia kopi yangu matata apa.
Toleo lijalo usisau MTOSO aliopigwa shemeji yangu Ntuzu na yule miss wa kichagga baada ya Mr Rocky kuhonga sana mashemeji (hizi bado ni fununu, nafuatilia kwa ukaribu nipate ukweli wake). kwa kuwa nasikia na wewe ni sehemu ya mashemeji sitegemei uzito wa kutosha kwenye huu mnyetisho.
Kuna habari nyingi SISIMSHI sana za akina sungura1980, Mentor, Karucee (huyu nakudokeza tu.. shemeji yetu kampiga ban kuja jukwaani.. more to come), lara 1 kuonekana sana akikatiza sana barabara ya Tabata, hashindi tena kwa lile li-botique lake pale nanii... (more details to follow) Kasinde kaonekana feri akinunua samaki jana akiwa amejitanda baibui na mawani meuzi.. ila watoto wa mjini tumemshtukia. Pia vimbwanga vilivyotokea kwenye BD party ya kabanga na muuza ubuyu etc.
Nitakupelekea maelezo zaidi PM.
Aiseee sikujua.....Asante kwa udaku..lol
Tized unamsikiliza huyo mchafuzi Ntuzu
yeye kashamaliza JF nzima sasa anaona wewe kupata barafu wa moyo wako ni issue ndo maana anakuharibia
We fanya tathmini yako bana uweke kifaa n.dani achana na huyu mchafuzi na anakuonea wivu maana kule kwa ladyfurahia bado kunasuasua hakujakaa njema bado hajakubaliwa kwa hiyo hataki aone mtu mwenye furaha
inafahamika sana.
usisahau hata miss chagga ni mke wa mtu...
unataka kufanya nini?
i may assist you...
kwani si,kunakuhusika kwa aina nyingi..
kama uliona na ukaupinga ndiyo kuhusika kwenyewe huko...
kumbuka kuna uhusika positive na negative...
measure ur self from there...
ooh! uko vizuri sana kwenye uandishi mkuu
ur among the good resources we have here...
mwallu nini tena aise
Sasa kama mke amepotea miaka mitano mizima mimi nifanyeje hapa
Si lazima nitafute mbadala wake
Na ndo maana miss chagga yupo bana kuziba upweke wangu