Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
18,585
Reaction score
16,780
Ramadhan Kareem! kwa wadau wote wa jukwaa..

Mfungo unaendelea na sijui kama leo ni 3 au 4.

News Pendwa tena, hizi hapa.

1. Niwapongeze wazaliwa wote wa Mwezi huu wa 7 na mimi nikiwa mmoja wapo, charminglady na wengine, muwe na maisha mema,mazuri ya furaha na mafanikio tele.

2. Mlipuko watokea MMU ni baada ya mdau mmoja kuwalipua wenzake kwa kuweka list ya wale
wachangiaji na waweka nyuzi hasi (-) na kuwaita jyinga jyinga wa MMU.
umukagame ashikilia nafasi ya juu kabisa..
mzee wa vipimio ( msaka vainsaley) naye ndani ya list..
mwenyewe ang'aka na kulifananisha jukwaa na bar,
kama sehemu yakuprove uwerevu wake!!!
Wengine walalamika kukosekana kwa Evz kwenye top5
Walioshika nafasi nyingine za juu ni pamoja na Mom Fay na mpenziwe Arovera

3. Kibo10 ndani ya mahaba mazito, akaribia kuchanganyikiwa aandika waraka mrefu ku win penzi la mtoto charty, vizingiti vikali vyawekwa na
mdau mgombanizi Rich Pol baada ya kushusha mkwara mzito.
mrembo mwenyewe anena
...mwenzio nna nyota ya chips kupendwa na kila mtuuu!!

possibly "kila abishae atafunguliwa".. saga to be continue..

4. #Teambazazi yakaribia kusambaratika, impact ya maombi ya ladyfurahia yaanza kuonekana..
members wengine mpaka sasa hawajulikani walipo.
Babu ODM Asprin aonekana akiimba mapambio
Mentor aikana team! mwekundu na Nicas Mtei haijulikani walipo.
'what goes around comes around'..

5. Kwa Obama(USA) kwazidi kumchanganya Kasinde,
ajikuta akigawa utamu "priceless" usiku kucha.
mwenyewe asingizia kinywaji na umahiri wa mlaji.
mkuu Tized naye aonekana akiomba round,pindi atakapotia team bongo.
"in a crash anything can happen".

6. Utata waendelea kulitikisa jimbo kuu ni baada ya Paroko wa jimbo hilo Eiyer kukana kabisa kuzamishwa penzini..
mwenyewe anena, "maneno si vitendo".
mrembo husika ndiyo kwanza hasikii wala haoni
anadai kwa paroko amefika!!
na yuko deep.
" you can be deep in shallow water"... tafsiri inaweza kuwa zaidi ya moja.

7. Kuishi uswahilini kwazidi kumkera Dinazarde vibaka wamtembelea..ailalamikia hali!!
hii ni fursa nzuri kwa vidume kujiongezea credit
fursa nyingine huja kwa kujificha.

8. Anti-FREE P waendelea kupata washabiki, regardless stelling wake anahudumia sasa.
ajisahau akiwa out, kimemo cha mchanganya!
na kujikuta akitoa maneno makali.
possibly, mwenye kisu kikali bado anaweza kuendelea kula nyama..

9. Usaliti wanukia kwenye Penzi la Mr Rocky
kuna ushahidi wa nukuu
asante mamy nakupenda pia usijali maneno ya watu mimi nimekuelewa kabisa... njoo unipe detail za kaka yako

mwenye macho haambiwi tazama.
utabiri wa Ntuzu waanza kuonekana..
Mzee wa miamba alionywa hakusikia.
Dena Amsi kutorudi nyuma tena!!

10. Mrembo Khantwe aonekana akimkimbia mwandishi wa jarida hili, binti yake janeth1 ajisogeza karibu huku akiuma uma kucha, uweledi wa mwandishi watumika kuzinusuru ndoa za pande zote mbili.

Pata Nakala Yako.

CC; shansarie OLESAIDIMU, utafiti Mndengereko, mwallu Kaizer Mtoto halali na hela, kabanga.

PARTY TW0



_
 
Last edited by a moderator:
Asante nmeshapata nakala yangu....ila ndugu mwandishi naona hujazimgatia onyo nlilokupa. Ndoa ya mwanangu janeth1 ikivunjika ndo utafurahi?

usiogope, ikivunjika ataolewa na mtu mwingine.
bintio ni mrembo...
 
Last edited by a moderator:
Tunathubutu kufuata kauli mbiu yetu mwaka huu "mbwa mkali habweki" ukiliona linapiga kelele ujue ni jibwa koko
Tunatambaa chini kwa chini kiwatengu kujenga mizizi na nikuvujishie tu siri 98% humu ni member wetu automatically
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hata mimi ananirusha roho, huu ujirani huu wa kuitana kaka nimeuchoka


nipo hapa mkwe mtarajiwa, hata mwanao anani miss.
Kama hatujakosana nini kinatufanya kutengana nao

Sikutaki....jina lako tu unaonekana ni bahili uliyekubuhu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…