kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Ramadhan Kareem! kwa wadau wote wa jukwaa..
Mfungo unaendelea na sijui kama leo ni 3 au 4.
News Pendwa tena, hizi hapa.
1. Niwapongeze wazaliwa wote wa Mwezi huu wa 7 na mimi nikiwa mmoja wapo, charminglady na wengine, muwe na maisha mema,mazuri ya furaha na mafanikio tele.
2. Mlipuko watokea MMU ni baada ya mdau mmoja kuwalipua wenzake kwa kuweka list ya wale
wachangiaji na waweka nyuzi hasi (-) na kuwaita jyinga jyinga wa MMU.
umukagame ashikilia nafasi ya juu kabisa..
mzee wa vipimio ( msaka vainsaley) naye ndani ya list..
mwenyewe ang'aka na kulifananisha jukwaa na bar,
kama sehemu yakuprove uwerevu wake!!!
Wengine walalamika kukosekana kwa Evz kwenye top5
Walioshika nafasi nyingine za juu ni pamoja na Mom Fay na mpenziwe Arovera
3. Kibo10 ndani ya mahaba mazito, akaribia kuchanganyikiwa aandika waraka mrefu ku win penzi la mtoto charty, vizingiti vikali vyawekwa na
mdau mgombanizi Rich Pol baada ya kushusha mkwara mzito.
mrembo mwenyewe anena
possibly "kila abishae atafunguliwa".. saga to be continue..
4. #Teambazazi yakaribia kusambaratika, impact ya maombi ya ladyfurahia yaanza kuonekana..
members wengine mpaka sasa hawajulikani walipo.
Babu ODM Asprin aonekana akiimba mapambio
Mentor aikana team! mwekundu na Nicas Mtei haijulikani walipo.
'what goes around comes around'..
5. Kwa Obama(USA) kwazidi kumchanganya Kasinde,
ajikuta akigawa utamu "priceless" usiku kucha.
mwenyewe asingizia kinywaji na umahiri wa mlaji.
mkuu Tized naye aonekana akiomba round,pindi atakapotia team bongo.
"in a crash anything can happen".
6. Utata waendelea kulitikisa jimbo kuu ni baada ya Paroko wa jimbo hilo Eiyer kukana kabisa kuzamishwa penzini..
mwenyewe anena, "maneno si vitendo".
mrembo husika ndiyo kwanza hasikii wala haoni
anadai kwa paroko amefika!!
na yuko deep.
" you can be deep in shallow water"... tafsiri inaweza kuwa zaidi ya moja.
7. Kuishi uswahilini kwazidi kumkera Dinazarde vibaka wamtembelea..ailalamikia hali!!
hii ni fursa nzuri kwa vidume kujiongezea credit
fursa nyingine huja kwa kujificha.
8. Anti-FREE P waendelea kupata washabiki, regardless stelling wake anahudumia sasa.
ajisahau akiwa out, kimemo cha mchanganya!
na kujikuta akitoa maneno makali.
possibly, mwenye kisu kikali bado anaweza kuendelea kula nyama..
9. Usaliti wanukia kwenye Penzi la Mr Rocky
kuna ushahidi wa nukuu
mwenye macho haambiwi tazama.
utabiri wa Ntuzu waanza kuonekana..
Mzee wa miamba alionywa hakusikia.
Dena Amsi kutorudi nyuma tena!!
10. Mrembo Khantwe aonekana akimkimbia mwandishi wa jarida hili, binti yake janeth1 ajisogeza karibu huku akiuma uma kucha, uweledi wa mwandishi watumika kuzinusuru ndoa za pande zote mbili.
Pata Nakala Yako.
CC; shansarie OLESAIDIMU, utafiti Mndengereko, mwallu Kaizer Mtoto halali na hela, kabanga.
PARTY TW0
_

...mwenzio nna nyota ya chips kupendwa na kila mtuuu!!

asante mamy nakupenda pia usijali maneno ya watu mimi nimekuelewa kabisa... njoo unipe detail za kaka yako
mwenye macho haambiwi tazama.
utabiri wa Ntuzu waanza kuonekana..
Mzee wa miamba alionywa hakusikia.
Dena Amsi kutorudi nyuma tena!!
10. Mrembo Khantwe aonekana akimkimbia mwandishi wa jarida hili, binti yake janeth1 ajisogeza karibu huku akiuma uma kucha, uweledi wa mwandishi watumika kuzinusuru ndoa za pande zote mbili.
Pata Nakala Yako.
CC; shansarie OLESAIDIMU, utafiti Mndengereko, mwallu Kaizer Mtoto halali na hela, kabanga.
PARTY TW0
1. Baada ya mwenyekiti lara 1 wa chama cha "NO FREE P" kujiuzulu na kuamua kolewa na mbabu Matola sasa chama chapata viongozi wapya. Mwenyekiti wake awa miss chagga huku akisaidiwa kwa ukaribu na umukagame. badiebey bado yupo kwenye recruitment stage.
2. Tukisalia hapo kwa badiebey, ambapo usajili wake kwenye chama hicho unasitasita baada ya kutangaziwa dau la ndoa na Zekidon. Kaka inabidi ujipange..nilijaribu tu kuchungulia PM yake...wakware ni wengi kuliko unavyodhani. Tetesi zinasema kuna kigogo mmoja kajitolea kumpeleka Bagamoyo wikiendi hii.
3. Mamndenyi ahaha kuusaka usingizi. Ni baada ya vijana kuonesha kutosumbuliwa na fedha zake. Ama kweli umri ukikutupa...
4. Imebainika kazi aifanyayo benteke ni fundi viatu mitaa ya mwenge. Hii ni baada ya uchunguzi wa kiintelijensia. NB: Bado asisitiza licha ya kazi hiyo, game yake ipo juu!
5. Imegundulika!!! Yule aliyekuwa akimbembeleza Rapunzel ni mume wa watoto wawili. Tetesi za kuaminika zinamhusisha zaidi Invisible (msiulize)
6. SERIOUS: Waalimu ambao hamjapata mishahara yenu...fuatilieni Utumishi kujua mustakabali wenu. Imegundulika ni kwa kuwa system imegonganisha majina. Vyeti vyenu vinatumika sehemu nyingine.
7. Baada ya maisha kumshinda, Honey Faith sasa ahaha kusaka kazi emirates! (wasifu: she is 4'' tall..ama tuseme short?lol)
8. Kasinde sasa ahaha kusaka wanachama katika chama lake lipya, linaitwa..."P for Fun." Kutaka kujiunga tafadhali kinadada mnitumie PM kwa maelekezo.
9. snowhite sasa ahaha kutafuta timu mpya! Ni baada ya zote alizokuwa akishabikia kutolewa. Ushauri wahitajika Cc: EMT agosti 8 , RRONDO et al
10. Munkari alikumbuka penzi la Mshinga...ahaha kumtafuta kila mahali! Uzi wake kufukunyua mengi...
11. Asprin ahaha kutafuta mbadala wa Khantwe. Yaonesha makali yake yaelekea kupungua.
12. Kaizer afichwa kusikojulikana. Asakwa kila mahali. Yasemekana amefichwa na mwanamama mmoja huko Kibaigwa.
13. Lenin v.i atishia kumloga miss neddy. Ni baada ya kuzungushwa sana tongozo lake.
14. Inasemekana yule 'samaki mwenye mengi ya kusema, ila mdomoni ana maji' a.k.a. BAK aanza kurusha ndoano kwa mlimbwende mmoja wa hapa JF. Aomba jina lake lisitajwe...
15. Mr Rocky ahaha kujisafisha kutoka kwenye lile litimu ambalo kila mtu ni member na kila mtu si member a.k.a #teamB. Ni baada ya kukiri kuwa 'alichepuka kidogo'. Kuchepuka kwake kumekuwa kwa mara kwa mara.
16. ...
_
Last edited by a moderator: