karibu sana, kila kitu kipo tayari.
zana + any needed materials.
Kuanzia leo wewe ni adui yangu namba1 baada ya kuushinda ujinga, maradhi na umaskini.
Thus; ama zangu ama zako. Over
Mkwe, ahsante kujali ndoa yetu. Napenda hekima zako, huyu mwandishi natangaza dau ya Pound 85,000,000. Kwa atakayeleta kichwa chake.
Sijui wifi yangu anataka kufanya nini.....sijui kwa kweli
nije nazo au?
kiwatengu ndoa yangu na Dena Amsi iko imara huyo miss chagga alitikisa tuqu kiberiti hapo akakuta kimejaa. Nampenda sana Dena Amsi bana huyo miss chagga ni mchepuko tuu aise
Cc Ntuzu, Tized, mwallu
Kasinde mamito Tized is here waiting.... Only worrying namna ya kukunasua kwangu... maana GLUE yangu sio mchezo... am just strategizing on how to unglue you... Bodaboda man isnt a joke oooh!!! Ila mrejesho to JF ni marufuku usije njazia ma PM buuureeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!kiwatengu na mwallu nilijua toka mwanzo miss chagga hafai ni kimeo ndo maana nikawa mguu mmoja ndani mmoja nje. Ntuzu ruksa kwenda kwa miss chagga.
Hhahahahahaa wee mhariri wa gazeti hili naona unataka kunifanya niwe supastaa wa jf, kwani kunitoa mara ya pili sasa wakati udaku umejaa tele.
Kwa udaku huu kuhusu Kasinde si kweli bana sijagawa papuchi yangu priceless, I did it with Sean and it was a fair game, we both enjoy!! He was smooth and gentle u know...
Hhahahahahaaa don't trust Tized that bodaboda man with helmet on his head he want to crush with Kasinde, well nikirudi we'll see about that and mrejesho atauleta yeye mwenyewe Tized looh
Mkuu nimeona JAMBO jipya chini ya JUA.
Kaka kiwatengu ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Mr Rocky we mwaache tu... mapenzi kiti cha basi... Ntuzu we endelea tu kuvunja shingo.
Yamekua hayo tena? miss chagga sema NENO na nafsi yangu itapona. Ila ya Ntuzu sijui itakuaje.
Kasinde mamito Tized is here waiting.... Only worrying namna ya kukunasua kwangu... maana GLUE yangu sio mchezo... am just strategizing on how to unglue you... Bodaboda man isnt a joke oooh!!! Ila mrejesho to JF ni marufuku usije njazia ma PM buuureeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!
Tized uwe na amani hakuna kipya chini ya jua hili kila kitu kilikuwepo na kitaendelea kuwepo
Kumpenda miss chagga na yeye kujielewa kuwa ni nyumba ndogo hakuna kipya anajua kuwa Dena Amsi yupo na ni ni mke halali na mkubwa sasa yeye anajielewa kuwa hapa anaiba
Wakati ukifika anaweza panda cheo kuwa nyumba kubwa kwa hiyo Ntuzu asitarajie chochote aendelee kuwa na huyo Khantwe wake mwallu hujambo wewe msalimie kaka yako Ntuzu

sasa kazi nitafanyaje? au leo nakuja kufanya nini?
Honey Faith kipi usichoelewa hapo yaani ina maana hata picha huoni aiseDuh kumbe missChagga ni bi mdogo?Makubwaaaaaa
Hata bila ushauri huu asingerudi kamwe
mwallu dah ulozi hakuna bana ni kawaida tuuNishaamini ulozi upo hakyamama
Honey Faith kipi usichoelewa hapo yaani ina maana hata picha huoni aise
Bora asirudi kabisa miss chagga hapa ametulia kabisa hana wasi wasi na hana shida na huyo Ntuzu wako
mwallu dah ulozi hakuna bana ni kawaida tuu