Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,819
Si unaona wanavyotupiga vita miss chagga waambie meli hiyo inaelea tunaelekea kwenye ulimwengu wa maraha na hii hata mke wangu halisi Dena Amsi analijua na amelibariki mwallu haiwezi kuwa hivyo miss chagga hajaweka limbwata mpaka nipoteze ufahamu kiasi hicho Honey Faith jipe moyo huyo kaka yako kakataa kitu kizuri kama miss chagga kweli yeye ni kipofu Khantwe usije unakimbia unasema umechoka kulishwa ugali wa mtama na kulima
cc Mentor, Ntuzu, mwekundu, Honey Faith, mwallu, Tized, kiwatengu

Mr Rocky mpenzi leo unakula nini? naomba leo usiseme nikuandalie ile kitu yetu
Niandalie ile kitu special honey wangu miss chagga achana na hawa wasukuma wala ugali wa mtama akina mwallu na Ntuzu na Khantwe na Honey Faith

Yangu macho mie ila siku ukiachwa usisite kuja kutujulisha pia
Utazinduka kushakucha
ha ha haha wifi acha Ntuzu kidogo afanikiwe yeye na dada yake Honey Faith, niachane na kaka yako Mr Rocky wewe nimetoa mkwara wa maana nimemrudisha si unajua nvyo mpenda kaka yako.... wewe nimesema nitamkata Ntuzu chululu yake acha mpenziwe mpya Khantwe anitishe wewe nikamwambia kama kashindwa kutuliza kitenesi chake yani ( Ntuzu) atuache wewe yani bibie nimekumiss
ha ha ha ha kitenisi hujambo
niandalie ile kitu special honey wangu miss chagga achana na hawa wasukuma wala ugali wa mtama akina mwallu na ntuzu na khantwe na honey faith
kama ulikuwa unakuja kumshikia mguu hapo unaweza toaa taarifa hizo ....Ntuzu ni kitenesi na ni mchoyo sana ooh nimeshakulipia mahari nani kamtuma
Waambie hao...hahaha wamenunaaaaa