Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

Si unaona wanavyotupiga vita miss chagga waambie meli hiyo inaelea tunaelekea kwenye ulimwengu wa maraha na hii hata mke wangu halisi Dena Amsi analijua na amelibariki mwallu haiwezi kuwa hivyo miss chagga hajaweka limbwata mpaka nipoteze ufahamu kiasi hicho Honey Faith jipe moyo huyo kaka yako kakataa kitu kizuri kama miss chagga kweli yeye ni kipofu Khantwe usije unakimbia unasema umechoka kulishwa ugali wa mtama na kulima
cc Mentor, Ntuzu, mwekundu, Honey Faith, mwallu, Tized, kiwatengu

Mr Rocky mpenzi leo unakula nini? naomba leo usiseme nikuandalie ile kitu yetu
 
Si unaona wanavyotupiga vita miss chagga waambie meli hiyo inaelea tunaelekea kwenye ulimwengu wa maraha na hii hata mke wangu halisi Dena Amsi analijua na amelibariki mwallu haiwezi kuwa hivyo miss chagga hajaweka limbwata mpaka nipoteze ufahamu kiasi hicho Honey Faith jipe moyo huyo kaka yako kakataa kitu kizuri kama miss chagga kweli yeye ni kipofu Khantwe usije unakimbia unasema umechoka kulishwa ugali wa mtama na kulima
cc Mentor, Ntuzu, mwekundu, Honey Faith, mwallu, Tized, kiwatengu

Umekwishapotea hakika
 
Last edited by a moderator:
Hakuna msukuma ambaye ahudumii mali yake sema wewe ulizidisha kwa tetesi tulizonazo kumbe na wewe ulikuwa unamuonga huyo laaziz wako.Ila Ntuzu anahudumia sana yani hapishani na shemeji yake Rogie

Kwa taaria nilizopata ni kwamba Ntuzu alikuwa so loyal kwa miss chagga

Just like the old days
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahhaahhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa wifi jamani
ila umekosea kuachana na kaka yangu bhana msamehe kama amekukosea na mrudie tena kwani yule ndo chaguo lako

halafu nzutu kaka yako ana mikwara kama nini amesema eti atanipiga ngumi 10 sijui hajui kuwa mm ni KOMANDOO WA VITA NA NI JEMEDARI
ha ha haha wifi acha Ntuzu kidogo afanikiwe yeye na dada yake Honey Faith, niachane na kaka yako Mr Rocky wewe nimetoa mkwara wa maana nimemrudisha si unajua nvyo mpenda kaka yako.... wewe nimesema nitamkata Ntuzu chululu yake acha mpenziwe mpya Khantwe anitishe wewe nikamwambia kama kashindwa kutuliza kitenesi chake yani ( Ntuzu) atuache wewe yani bibie nimekumiss
 
kama ulikuwa unakuja kumshikia mguu hapo unaweza toaa taarifa hizo ....Ntuzu ni kitenesi na ni mchoyo sana ooh nimeshakulipia mahari nani kamtuma

We bidada ulitaka kaka yangu akupendeje?Kila kitu alikuwa anakuhudumia sasa wewe ulitakaje?Na kudhihirisha na mahari akataka akulipie sasa wewe ulitaka nini zaidi ya hilo?Au ndo njama zako za kumchuna na kumpa nanihiiii wako?
 
kiwatengu mke wangu charty yupo salama kwenye himaya yangu Rich Pol alitaka kuleta fitna tukamstukia
Chombo nina kimiliki mimi na kimekuri hamna mwingine zaidi yangu!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom