Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

Udaku Special!! 3rd Edition... Full Nondo!!!

kiwatengu tumebadilisha mbinu,tuna move secretly inawezekana hata mwallu akawa victim wa mbinu ataolewa na #bazazi ha ha ha
Unakumbuka movie ya Blacklist?Lizzy afisa FBI alikua akiambiwa na Reddington do u trust your husband ?alikua anagoma sana!!
 
Last edited by a moderator:

Ngojea kwanza...
Sezae Ntuzu njoo
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Member mwingine huyu hapa kiwatengu kila mwezi anabadilisha partners ,huu kweli sio ubazazi?au hadi umuone kwenye meeting?
Nakumegea siri utawatambua "kwa matendo yao" Lol

never on earth.! for me to be in that team
ulishaona kondoo katikati ya mbwa mwitu?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom