Udaku Special, 4th Edition: Critical

Udaku Special, 4th Edition: Critical

Mapi kwa kuwa ni wewe, Niletee tu mkojo wa ''kakakuona'' pamoja na mkia wake, Jino la mamba la chichi (liwe la upande wa kulia) Kuku mweusi wa kienyeji (jogoo alienona), Unga wa donna uliochanganywa na unga wa mhogo debe moja na Tshs 50 tu. mambo yako yatakua mswaaaaaaaano!!!!!!!

Ukikosa huo mkojo, mkia na jino la jamaa... njoo na laki na ishirini (noti nyekundu TU) ninazo akiba apa alziiacha kiwatengu wakati anamuita mpenziwe shansarie. Lile jino Ntuzu tafadhali lilete apa site. Mr Rocky hii ni wiki ya kufumaniwa kwako, zingatia sana sala vinginevyo kitanukishwa na mwenye mke. Excel naye kwa tabia yake ya kukaa sana juu ya mawe huko rock city huenda akawa sana kivutio kwa watalii wetu.

Natabiri kuwa UKAWA watagomea kuingia bunge la katiba, Azam itachukua nafasi ya Yanga kwenye mashindano ya kagame, na jumapili Arsenal na man City zitacheza saa 3PM saa za UK. Kwa mbaali naona jina la Wembley stadium ila sijui ni nini iko kwa sasa

Kesho itakuwa Alhamisi na kesho kutwa yake itakua ijumaa na kwa mshtuko wa wengi siku hio ofisi zitafungwa ili watu wakapumzike. Kutatokea pia shamrashamra za hapa na pale maana mwaka huu nyota ya kilimo inaangaza sana kutokea mashariki; kwa hio huenda wakulima wakampumzisha majembe na kufanya shamrashamra za hapa na pale.
sasa nini maana ya utaalamu wako joh!! we sema chochote mi nitalipa
 
Last edited by a moderator:
Mapi kwa kuwa ni wewe, Niletee tu mkojo wa ''kakakuona'' pamoja na mkia wake, Jino la mamba la chichi (liwe la upande wa kulia) Kuku mweusi wa kienyeji (jogoo alienona), Unga wa donna uliochanganywa na unga wa mhogo debe moja na Tshs 50 tu. mambo yako yatakua mswaaaaaaaano!!!!!!!

hahaha.. we mkali aisee hii huduma kuna wajanja wakipita hapa lazma wakuige
na watapiga hela za watu.

Ukikosa huo mkojo, mkia na jino la jamaa... njoo na laki na ishirini (noti nyekundu TU) ninazo akiba apa alziiacha kiwatengu wakati anamuita mpenziwe shansarie.

hakuna mtu aliyewahi kusalimika kwa kujaribu kuivuruga ndoa yangu. Mapi sitampa onyo zaidi ya mara mbili.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru bwana mwandishi hukuniona this time, nimesikia tetesi umepokea bahasha ya khaki toka kwa mume wa mchepuko wangu Khantwe ili unichafue toleo lijalo, najiandaa kupigania status yangu kwa gharama yoyote ile

ngoja nione utakavyo pambana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom