Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
He pole mwaya,sasa ndo unachepuka au????
nimekuchukulia in private! n'tafute!
hahahha nimebaki njia kuu tu
nakupata wapi????
Bora shoatito huko kwingine vumbi tu
mbona wewe hilo vumbi hujaliogopa??
Yuko Karagwe Kagera huko kuna project anaifanya...
atazipata kesho ninauhakika wa kuwasilisana nae
sema ndiyo unauchuna sana sasa.
is that baby urs?