Udaku Special, 4th Edition: Critical

Udaku Special, 4th Edition: Critical

Nimeshaacha sasa namtumikia MUNGU wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo kwa moyo na akili zangu zote.

ha ha ha ha ha ah ha
tawire baba tawire umevipata

huo utabiri unanithibitishia ulivyo mganga mzuri
 
Wewe ndio unafuatia ukamsaidie huko aliko. Plz get Reeeeedeeeeeee!!!!
Ule Uganga Wa Tized NI kiboko!

Amemtoa baba yake msukule ndio anaemletea dawa kutoka mapolini!

Hatareeeeee!
 
Hahahaaaa.. Mkuu wajinga ndio waliwao!!! Hii kazi ndio imetutesha vitambi unavyotuona navyo. Kama sasa ni msimu wa kuagiza kuku tu wa kienyeji na unga wa donna na Mhogo na hela kidogo kununulia mafuta na gesi you know!!!

hahaha.. we mkali aisee hii huduma kuna wajanja wakipita hapa lazma wakuige
na watapiga hela za watu.

hakuna mtu aliyewahi kusalimika kwa kujaribu kuivuruga ndoa yangu. Mapi sitampa onyo zaidi ya mara mbili.
 
Hahahaaaa.. Mkuu wajinga ndio waliwao!!! Hii kazi ndio imetutesha vitambi unavyotuona navyo. Kama sasa ni msimu wa kuagiza kuku tu wa kienyeji na unga wa donna na Mhogo na hela kidogo kununulia mafuta na gesi you know!!!

dalili za usaliti zinaonekana
kakuhonga nini @ kiwatengu
 
Nililoga pasipologeka yalivyonigeuka nikajisalimisha kwa Yesu kwa usalama wangu. ushindwe na ulegee huko simoooooooo tena. Niko naburudika ndani ya Bwana!!!!
whaaaaaaat?
nani kakuloga???
 
Nililoga pasipologeka yalivyonigeuka nikajisalimisha kwa Yesu kwa usalama wangu. ushindwe na ulegee huko simoooooooo tena. Niko naburudika ndani ya Bwana!!!!
kiwatengu unayoyafanya sio mazuri, haiwezekani Tized abadilike ghafla hivi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom