Mapi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 6,849
- 2,739
nini kitachomliza ?
ntavyokunyakua mithili ya mwewe anyakuavyo kifaranga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nini kitachomliza ?
hiyo namba ya simu unaomba ya nini lakini
shem kwetu huku kwema, niko home bibie!mi mzima wa afya tele sijui weye shem langu
yatawashinda jamani lol
ha ha ha ha ha ah ha
tawire baba tawire umevipata
huo utabiri unanithibitishia ulivyo mganga mzuri
hahaha.. we mkali aisee hii huduma kuna wajanja wakipita hapa lazma wakuige
na watapiga hela za watu.
hakuna mtu aliyewahi kusalimika kwa kujaribu kuivuruga ndoa yangu. Mapi sitampa onyo zaidi ya mara mbili.
Nimeshaacha sasa namtumikia MUNGU wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo kwa moyo na akili zangu zote.
Jamana!!!!!!
nini tena....? ila usije ukaniazishia sread bure...!
Haaaaaaa amna bana
Hahahaaaa.. Mkuu wajinga ndio waliwao!!! Hii kazi ndio imetutesha vitambi unavyotuona navyo. Kama sasa ni msimu wa kuagiza kuku tu wa kienyeji na unga wa donna na Mhogo na hela kidogo kununulia mafuta na gesi you know!!!
whaaaaaaat?
nani kakuloga???