kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
we unadhani PM ni sehemu salama sana? kule tuongee mambo mengine tu aisee
ha ha ha ha hope humjui wife vyema.
ngoja aje ajionee mwenyewe
walau hapo, hebu nicheki sasa
PM tena? huko si nshakuambia si mahali salama sana>
mbona unakuwa tena mkali wakati umeniahidi kutokuwa mkali kwangu?
remember!!
basi sawa mrembo! tuonane tena kesho
Aya kilichokufanya ugune??? Nn
Ohoo nshakua murembo tena ngoja mkeo aone kibuti kitakutembelea
si nimeshakuambie hapo nyuma ya nyumba?
yangu macho..
Na mm nli quote kabla ujaniambia