TUMBOO
JF-Expert Member
- Jun 27, 2014
- 3,827
- 2,021
hivi nilikuambiaje vile?
Adi na mie nmesahau uliniambiaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi nilikuambiaje vile?
Adi na mie nmesahau uliniambiaje
na bado utatafuta kila dawa
eti eeebasi sawa mrembo! tuonane tena kesho
hiyo namba ya simu unaomba ya nini lakiniOhoo nshakua murembo tena ngoja mkeo aone kibuti kitakutembelea
nini kitachomliza ?andaa staili ya kushangaa
anza mazoezi ya kulia
hivi bado upo shirikani au umepata bwanaAhahahahahahah
Haya
Haaaaaaa aya lol ayo ndio yaliyonifika leo mwenzio
hivi bado upo shirikani au umepata bwana
kumbee muongeaji eh.....?
mambo!! umeamkaje?
na bado utatafuta kila dawa