Udaku Special, 4th Edition: Critical

Mmmmh romantic eyes binti yangu nimemlea kwenye maadili mema....hata siku moja hawezi kukwapua mume wa mtu

nashangaa.. mke wangu katulia zake nyumbani kwake afu huyu KOKUTONA anaropoka tu... usimnyime amani honey wangu.
fanya mpango wa kurekebisha mambo ya ndoa yako kama kidogo imeyumba..cc Eli79
 
Last edited by a moderator:
KOKUTONA baby, unakumbuka ulivyosafiri kwenda sauzi.. Khantwe alinichepusha hata sikutaka..afu hakuniambia ana mtoto, ona sasa tumeingia aibu.. romantic eyes naye hamtaki mumewe First Born. Lakini hata mimi nilikusamehe ulivyochepuka na @mr rocky kwa hiyo ngoma droo..
 

Eeeeeh makubwa haya mhhhhh????Ngoja kwanza ninywe juice wakati natafakari jinsi yakufanya
 

Sichepukagi hata siku moja. Njia kuu kwangu ndo mpango mzima. Ndo maana hata ulipoamua kuhangaikaaa mi nimetulia. Kuku Wangu mwenyewe VP untoe jasho? Nilijua utarudi tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…