Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Yukon kwa romantic eyes
Mmmmh romantic eyes binti yangu nimemlea kwenye maadili mema....hata siku moja hawezi kukwapua mume wa mtu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yukon kwa romantic eyes
KOKUTONA hebu nichum kwanza hapa mdomoni lips zangu hazijapata kiss yako muda mrefu
Mmmmh romantic eyes binti yangu nimemlea kwenye maadili mema....hata siku moja hawezi kukwapua mume wa mtu
Aiseeee ndoa yataka uvumilivu sana yani unashuhudia hivi hivi live jamani.Pole nyingi mfikishie mkeo
Dena Amsi ana moyo wa uvumilivu sana
.
usimsifie...
Wivu unaua
mimi sina wasi wasi ile hela ya shoping usisahahu kesho kutwa holidaymiss chagga simuogopi anajua kabisa kuwa yeye ni mchepuko na naruhusiwa kuwa na michepuko mingine mradi haki zake atimiziwe
First Born ukizungumza haya uzungumze kimya kimya akija huyo Dena Amsi hapa hapatakalika kila mtu atatafuta njia ya kutokea
Yule ni wangu wa kufa na kuzikana hatuachani hata kwa mapanga na nyundo
Love you sana my wife wangu Dena Amsi
Usiwe na wasi wasi beibe miss chagga iko tayari kabis awe pitia tuu uchukuemimi sina wasi wasi ile hela ya shoping usisahahu kesho kutwa holiday
miss chagga anajijua sana na kuna wengiune uewasahau akina Khantwe na Kasinde na KOKUTONAwape sharr out na michepuko wote akiwepo miss chagga, KOKUTONA na wengine kibao..
wape sharr out na michepuko wote akiwepo miss chagga, KOKUTONA na wengine kibao..
KOKUTONA baby, unakumbuka ulivyosafiri kwenda sauzi.. Khantwe alinichepusha hata sikutaka..afu hakuniambia ana mtoto, ona sasa tumeingia aibu.. romantic eyes naye hamtaki mumewe First Born. Lakini hata mimi nilikusamehe ulivyochepuka na @mr rocky kwa hiyo ngoma droo..

Mke wangu nisamehe... leo ndo nimegundua michepuko sio dili kabisa..!