Eli79 my dia ina maana ndo hatuchepuki tena?
????????
We mkwe nani kakwambia upite mitaa ya wakubwa huku?
aisee... miss neddy umepita hapa? kuna mtu ananinong'oneza eti nioe mke wa tano..! as if hata wa pili nishafikisha! dah!
vipi kaka! tarime wazima?