Udalali stendi za mabasi too much

Udalali stendi za mabasi too much

Hata hivyo huwa wanaangalia mtu na mtu. Kwanza mimi huwa siongei nao hata wakinisemesha.
 
wewe ndio akili huna.kwahio watuwote wanaosumbuliwa palé mbezi hawana akili?
Ukiwa na akili timamu huwez kusumbuliwa na wapiga debe...
Wapiga debe huwa wanaangalia wakiona hujitambui kama wewe lazima wakushike hadi matakoo...
Mtoto wa kiume umetoka nyumban unaenda kushikwa shikwa na wapiga debe, maana yake huna akili hujitambui...
 
nenda stend ya Magufuri , tujifunze kufanya tafiti kabla ya kuhukumu mtu
tangu ilipokuwa ubungo na sasa hapo Magufuli terminal, sijawah kusumbuliwa na wapiga debe...
Nawashangaa sana nyie mnao lalamika... Jitathimini mjue mna madhaifu gani mjirekebishe...
 
Back
Top Bottom