From what i know about women, mara nyingi ndani ya dakika 3 za kuongea na wewe lazima unakuta ashajua kabisa wewe ni mwanaume wa aina gani na lengo lako ni nini.
So, kama ndani ya 24hrs ashakupiga mzinga mrefu hivyo, just know pale ulipoongea nae mpaka ukaomba namba, alishajua waziwazi kua ile sehem kwenye kichwa chako ambapo ubongo ulitakiwa ukae, imekaa mbegu ya parachichi.!
Acha makasiriko mkuu, pambana tafuta hela na uwe na sera zinazovutia,. Ukifika hapo wala hutahangaika kula tunda kimasihara