Udangaji kwa wanachuo umezidi

nimeshamlima BLOCK, akaombe maprofesa huko huko chuo
 
Mkuu hio Cozi Ardhi ipo kabisa na ndo cozi yenye watu wako busy 24/7. Sasa huyo cijui alipata mda wapi au walikutana kipindi cha likizo
Ardhi University wana kozi inaitwa "Bachelor of Architecture" sio "BSc Architecture", professionally hivyo ni vitu viwili tofauti kabisa, mtu aliyesoma BSc. Architecture hawezi kuwa registered na kuitwa Architect. Kama mwanafunzi ameshindwa hata kujielezea anasoma kozi ipi kiufasihi tayari inaleta utata, naelewa jinsi wanavyokuwa busy na Studio na sheria zao ngumu "ukifeli semester 1 basi semester 2 husomi Studio na kwa kuwa hujasoma semester 2 basi mwaka ujao husomi ya semester 1", mwanafunzi anaweza kujikuta hajui amecarry studio ipi na asome ipi halafu mwisho wa siku wanakula kichwa. Wapo kina dada wengi tu wanajifanya wanasomea program fulani kumbe ni kujiongezea pointi tu mezani.

Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nn?
Mie nashangaa sana kama unauza mbususu sii useme tuu bwana mbususu bao kadha elfu kadhaa sio mmbonya sijui nadaiwa mara simu basi tabu tupu
 
Mie nashangaa sana kama unauza mbususu sii useme tuu bwana mbususu bao kadha elfu kadhaa sio mmbonya sijui nadaiwa mara simu basi tabu tupu
Mbinu tu hizo jamani ,wanaume tunaowapenda hatuwafanyii hivi..huyo dada hana mpango na jamaa, naamini kabisa ni mbinu ya kumfukuza
 
Mbinu tu hizo jamani ,wanaume tunaowapenda hatuwafanyii hivi..huyo dada hana mpango na jamaa, naamini kabisa ni mbinu ya kumfukuza
Ujinga tuu...mwanmke mwenye utu anakataa tuu mapema ata namba hatoi
 
Ama kweli hamna maana nyie viumbe. Sii ukatae tuu kutoa namba kama humtaki jamaa why mnawapa vijana false hope?
Nyie ving'ang'anizi namba mnapewa na kesho yake unaombwa kodi ya nyumba lazima ukimbie.
Mwanaume unayempenda huwezi mfanyia hivi maana unajua kabisa atakimbia so unatest zali...either umpe hiyo hela ili aendelee kukuchuna au usepe.
 
Ujinga tuu...mwanmke mwenye utu anakataa tuu mapema ata namba hatoi
Utu gani mmekutana bar huko wote vicheche tu. Na wewe nia yako si ni mbunye tu au nini zaidi unataka kutoka kwa mwanamke mliyekutana bar?
 
Nyie ving'ang'anizi namba mnapewa na kesho yake unaombwa kodi ya nyumba lazima ukimbie.
Mwanaume unayempenda huwezi mfanyia hivi maana unajua kabisa atakimbia so unatest zali...either umpe hiyo hela ili aendelee kukuchuna au usepe.
Point ya gu ni kwamba mwanamke anayejitambua kamwe hawezi kufanya huo ujinga. Kama hampendi jamaa ata namba ya simu hatoi.

Ebu wee tumikisha mayele yako kweli mwanaume humpendi namba yako unampa ya nini? Mie demu ng'ong'ozo akiniomba namba yangu namkwepa kama ukoma
 
Utu gani mmekutana bar huko wote vicheche tu. Na wewe nia yako si ni mbunye tu au nini zaidi unataka kutoka kwa mwanamke mliyekutana bar?
Kwani mwanamke wa bar pekee ndio anaombwa mbunye....ata wa jf pia tunawaomba mbunye au wee hujaombwa mbunye humu ndani na magreat thinker?

Kama mbunnye watoa kwa hela sii useme tuu bwana ukitaka kuipelekea moto mbusus nipe laki zangu mbili
 
Unakutana na mwanachuo club/baa eg. Samaki Samaki unamuelewa unachukua namba kesho yake mchana smart phone imeharibika anaomba laki 8 akanunue Simu mpya.
Hivi mnawazaga nn?
Sasa si unampiga sound tu kuwa kuna pesa unategemea muda wowote ule,huku ukiendelea kula Mzigo Kama kawa! Mabaharia muda mwingine mnaniangushaga, Mademu wanapenda sound kuliko kuwaambia ukweli!!
 
Hatujui mazingira waliyopeana namba ukute walikuwa pombe mbaya, mambo ya bar si unayajua?
Tumuulize mtoa mada nia ya kuomba namba ni kwamba aliona dada ni wife material au alimtamani tu. Naamini angechelewa kidogo tu kuombwa hela yeye alishapanga kumuomba uchi. Aje akane hapa
 
Kwani mwanamke wa bar pekee ndio anaombwa mbunye....ata wa jf pia tunawaomba mbunye au wee hujaombwa mbunye humu ndani na magreat thinker?

Kama mbunnye watoa kwa hela sii useme tuu bwana ukitaka kuipelekea moto mbusus nipe laki zangu mbili
Na wewe unatakaje mbunye bure jamani? Wote hao wamefanana kitabia...dada mdangaji , kaka kiwembe asiyekuwa na hela
 
Sasa kwani mwanamke unataka uombwe nini kama sio mbususu?
 
Na wewe unatakaje mbunye bure jamani? Wote hao wamefanana kitabia...dada mdangaji , kaka kiwembe asiyekuwa na hela
Hakuna mbususu ya bure. Ila mihangaiko yote ya ni i wewe sema mapema tuu bwana mbususu yangu million basi. Mambo ya simu sijui kodi hayatuhusu. Kinachotuhisu sisi ni mbususu na bei yake....wacha badoo na tinder ziedelee kuwepo. Watu strait to the point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…