hazard Don
JF-Expert Member
- Oct 9, 2017
- 1,203
- 1,007
Hamna kitu, ni akili yako tu ya kudeal naye.Demu akiwa Hakutaki anaweza kuomba hata Umnunulie Ndege Sasa we Jifanye Ukimkosa hakuna mwingine.
Hawa viumbe wa sasa wengi wanaangalia maslahi.
the less you care the more they chase.