Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 993
Soma upya mkuu utapata mengine. Hapa ulianza kuelewaelewa.
Hapa umepotea, kwakuwa ukimwi si ugonjwa wa kuambukizana, kukaa karibu na mwenye ukimwi hakuwezi kupelekea wewe kuukwaa. Mengine nimeshindwa kuendelea kwani ninajisikia kuchoka.
Hii thread nimepata yafuatayo.. kwanza kama kichwa cha habari kinavyoonyesha , wataalamu na wanasiasa wa dunia hii hawatuambii ukweli kwa maslahi yao, ya kupata pesa na ukatili mwingine tu.
Hapa umepotea, kwakuwa ukimwi si ugonjwa wa kuambukizana, kukaa karibu na mwenye ukimwi hakuwezi kupelekea wewe kuukwaa. Mengine nimeshindwa kuendelea kwani ninajisikia kuchoka.
.. Pia si vizuri ukajiachiaachia karibu na mwathirika unaweza kuukwaa.