Udanganyifu, hila na siri kuhusu UKIMWI vyawekwa hadharani

Udanganyifu, hila na siri kuhusu UKIMWI vyawekwa hadharani

Soma upya mkuu utapata mengine. Hapa ulianza kuelewaelewa.

Hii thread nimepata yafuatayo.. kwanza kama kichwa cha habari kinavyoonyesha , wataalamu na wanasiasa wa dunia hii hawatuambii ukweli kwa maslahi yao, ya kupata pesa na ukatili mwingine tu.

Hapa umepotea, kwakuwa ukimwi si ugonjwa wa kuambukizana, kukaa karibu na mwenye ukimwi hakuwezi kupelekea wewe kuukwaa. Mengine nimeshindwa kuendelea kwani ninajisikia kuchoka.
.. Pia si vizuri ukajiachiaachia karibu na mwathirika unaweza kuukwaa.
 
Soma upya mkuu utapata mengine. Hapa ulianza kuelewaelewa.



Hapa umepotea, kwakuwa ukimwi si ugonjwa wa kuambukizana, kukaa karibu na mwenye ukimwi hakuwezi kupelekea wewe kuukwaa. Mengine nimeshindwa kuendelea kwani ninajisikia kuchoka.
mkuu sizungumzi kwa ubishi bali, kuna mahali anasema virusi vinategemea magonjwa mengine kama culture media, kwa uelewa wangu kalcha media ni eneo linaloweza kutumika kuzalisha vijidudu vingine yaani kama chakula chavijidudu kuzaliana kwa wingi, ambapo kwenye maabara wanatumia petri dishes kutengeneza vijidudu vya ugonjwa kwa sababu mbalimbali, na ikiwa virusi vikatumia makoozi ya mgonjwa wa tibii kujizalisha au kuishi. may be kuna uwezekano wa makoozi yale kuleta madhara kwa wasioathirika kama atakukoolea(yakiwa na virusi). na kama mate tu yanaweza kubeba virusi , . ukiongezea mbu ananyonya damu kwa sindano yake na anaanza kwa mfano kumchoma mwathirika then anarudi kwa asiye mwathirika na pengine tendo hilo likajirudia tena kwa mwathirika na asiye mwathirika. . huku tukifahamu kuwa damu ya mwathirika imebeba virusi ambavyo ni vidogo kuliko bakteria., nadhani hapa tunachotegemea ni contagious. nahop tumepata kusikia walioathrika kwa kutunza wagonjwa. japo siwezu ku-rule out kuwa ilitokana na aina hii ya framework, lakini inanisahwishi kuhisi kuna kahuusiano na kontagiazzz
 
Back
Top Bottom