Udanganyifu NHIF, Ndugu Waoana Wapate Kadi ya Bima

Udanganyifu NHIF, Ndugu Waoana Wapate Kadi ya Bima

kama unadanganya jina kwenye cheti cha ndoa mbona sasa unajisumbua maana kinachomatter ni jina la namba ya NIDA... wewe ukimuoaa mtoto wa mama mdogo wako NHIF watahitaji namba yake ya nida hata kama cheti cha ndoa mkidanganya means kiendane na nida huwezi pishanisha jina la nida na cheti cha ndoa.
Hata majina yakifanana kwa 100% kwenye NIDA hiyo haiwezi kuzuia watu 'kuoana' na kupata cheti cha ndoa.
NHIF wao wanataka uambatanishe cheti cha ndoa tu, na hawawajibi kujua nyinyi wahusika mlioana katika misingi ipi.
 
Back
Top Bottom