kama unadanganya jina kwenye cheti cha ndoa mbona sasa unajisumbua maana kinachomatter ni jina la namba ya NIDA... wewe ukimuoaa mtoto wa mama mdogo wako NHIF watahitaji namba yake ya nida hata kama cheti cha ndoa mkidanganya means kiendane na nida huwezi pishanisha jina la nida na cheti cha ndoa.