UDART iendeshwe na kampuni binafsi za uendeshaji (Management companies)

UDART iendeshwe na kampuni binafsi za uendeshaji (Management companies)

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Mimi nashangaa kuendelea kuchagua wanasiasa kuendesha mashirika kama haya. Ushauri wangu ni kutangezwe zabuni maalumu za uendeshaji tu.

1. Kila kampuni ije na mpango wake wa miaka mitano.
2. Jinsi ya kulipwa iwe kutokana na faida.
3. Mradi unatakiwa kujiendesha wenyewe na kutenga pesa kila mwaka ya kulipa deni lake la mradi.

Vilevile waweke mtu maalumu kama muongeaji na serikali iweke mtu mmoja wa kutoka kitengo cha kuzuia rushwa na kuwe na polisi maalumu ya mradi huu.
 
Back
Top Bottom