Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Unavailable wazungu si ndio badi kuweni na utu. Jambo moja msilolijua nchi za mabepali, wanatufanyia ubepali wageni. Lkn kwa raia wao wanafanya welfare huduma kwa wananchi. Istoshe hata sie wageni tunapoingia mataifa haya tunaona.
Tiketi ya mkato mmoja itumike kwa masaa kwann nikate kila mara??
Kwa mfano nimetoka posta hadi mbezi nakata tena, kimara mbez nakata tena, mbezi kibaha nakata tena hell no. Huu sio utu. Haipe dez ni upokaji wa fedha za raia