Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

Anasquirt Sana,
Mechi ikikolea Sana kitanda kinageuka stendi kuu ya mwendo Kasi msimu wa masika pale jangwani.

Kila mwaka nna bajeti ya godoro jipya,
Kipind tunapanga na hatuna mtoto ilkua tabu Sana kuanika godoro.

Nowdays tuko kwetu, tuna watoto na godoro tunaanika nje Kama kawaida na Hakuna wa kutuuliza

Hotel/lodge,
Tukiwa vacation au Mechi za dharura sn inabd tupige tumesimama, na sio kitandani.

Kwenye gar,
Ilnibidi nishone seatcover za leather.
(Kuna sikU gari ililowa wkt tunaagana nikaifunga na nkasafir bila KUiSAFISHA, nlivorud harufu kali nlokuta niliizira gari mwezi mzima)

Bedroom,
Ilinibidi kununua sofa maalum la leather kuhimili starehe yake.

Sema Nini[emoji2]
Mwanamke anaesquirt Ni Raha Sana wazee [emoji39]

Ule umoto Moto wakati bao linatoka, unahamasisha Sana.

Hasa akiwa analia uku miguu na joint ZOTE zikivibrate[emoji39]
Huyo ni kikojozi usinidanganye
 
Hajijali hanijali na majibu ya ujeuri yupo yupo tu ila mm namvumilia
 
Wangu shida ipo kwenye kutumia simu, hapendi kabisa kutumia simu. Hapa sasa hivi simu ilikuwa na msg za kutoka juzi ndio kazisoma na nyingine nimesoma mimi. Yeye anasema tu soma, ambazo sio za muhimu futa.
Nikishatoka hapa nikitaka kumpata kwa urahisi labda nimpigie jirani.
 
Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi.

Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia.

Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia?

Je mimi nitakua nakosea nikimuacha huyu cha uongo?
He can't do sex kabisa amepata sukari tukiwa kwenye mahusiano but nimeamua kuwa nae Kama jinsi alivyo ,Ana vitu vingi Sana ninavopenda toka kwake zaidi ya sex
 
Back
Top Bottom