Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Yaani acha tu!Mke anatakiwa awe shabiki wa timu ambayo mumewe anashabikia, sasa ikiwa tofauti hapo inahitaji uvumilivu sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani acha tu!Mke anatakiwa awe shabiki wa timu ambayo mumewe anashabikia, sasa ikiwa tofauti hapo inahitaji uvumilivu sana
[emoji23]aiseeAnamajibu ya kuudhi sana muda mwingine, imagine unamuuliza mtu mmekula Tambi na nini anakwambia na mdomo
😅😅😅😅😅😅Kunuka miguu ntavumilia tu
Makofi ndio suluhu ya matatizo hayo!Anamajibu ya kuudhi sana muda mwingine, imagine unamuuliza mtu mmekula Tambi na nini anakwambia na mdomo
Hahahahah kwahio muongo!Mwizi---lazima awe muongo
Mnafiki/mbea---lazima awe muongo
Danga&mdangaji---sifa ya uongo ni yao
Uongo uliokithiri hubeba maovu mengi sanaa...
Hahahahahah nomaBora muongo utamzoea na ukimshushua kila wakati mwisho anaacha
Ila wa hivi sasa [emoji23][emoji23]View attachment 1929722
Hahahahahah noma
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ina nini Mkuu,We Jamaa hyo avatar yako Dahh...
Mwambie awe anatafuna majani ya Mpera ma 3 au ma 4 kila siku kwa dk 15 au tafuta Kidaka cha ndizi, kikatekate umchemshie awe anakunywa yale maji utakuja kuwashuhudia humu wananzengo.He can't do sex kabisa amepata sukari tukiwa kwenye mahusiano but nimeamua kuwa nae Kama jinsi alivyo ,Ana vitu vingi Sana ninavopenda toka kwake zaidi ya sex
Hello, sex as in penetration mnaweza msifanye, lakini mapenzi mnaweza kufanya.. hope umeelewa sis.He can't do sex kabisa amepata sukari tukiwa kwenye mahusiano but nimeamua kuwa nae Kama jinsi alivyo ,Ana vitu vingi Sana ninavopenda toka kwake zaidi ya sex
Hii comment ifunge uzi, hakuna haja ya mjadalaUnamzungumzia mkeo au hawara yako? Maana ya mkeo yamalizieni chumbani kwenu. Nashauri tu
Kwani akisema hapa kuna ubaya gani? Unafiki tu.Hakika hakuna baya mpaka sasahivi lakini hata kama lingekuwepo ningeli mwambia mwenyewe kistaarabu kuliko kuja kusema hapa JamiiForums.
Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Kati ya hawa mashabiki wawili kwako unaona bora yupiYaani acha tu!
Mmhh hivi mwanamke anaweza akafanya mapenzi bila penetration na akapata rahaHello, sex as in penetration mnaweza msifanye, lakini mapenzi mnaweza kufanya.. hope umeelewa sis.
[emoji8]
sijui kama inaaply kwa wote, lakini absolutely YES.Mmhh hivi mwanamke anaweza akafanya mapenzi bila penetration na akapata raha