Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

Huyo ni kikojozi usinidanganye
 
Hajijali hanijali na majibu ya ujeuri yupo yupo tu ila mm namvumilia
 
Wangu shida ipo kwenye kutumia simu, hapendi kabisa kutumia simu. Hapa sasa hivi simu ilikuwa na msg za kutoka juzi ndio kazisoma na nyingine nimesoma mimi. Yeye anasema tu soma, ambazo sio za muhimu futa.
Nikishatoka hapa nikitaka kumpata kwa urahisi labda nimpigie jirani.
 
He can't do sex kabisa amepata sukari tukiwa kwenye mahusiano but nimeamua kuwa nae Kama jinsi alivyo ,Ana vitu vingi Sana ninavopenda toka kwake zaidi ya sex
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…