Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

Wangu shida ipo kwenye kutumia simu, hapendi kabisa kutumia simu. Hapa sasa hivi simu ilikuwa na msg za kutoka juzi ndio kazisoma na nyingine nimesoma mimi. Yeye anasema tu soma, ambazo sio za muhimu futa.
Nikishatoka hapa nikitaka kumpata kwa urahisi labda nimpigie jirani.
Kuna dada mmoja namfukuzia ana tabia hii hapendi kutumia simu kabisa. Anaweza kuiweka chaji ikajaa mpaka akasahau kama ana simu ipo chaji na saa zingine anaweza ishika usiku pekee napo kidogo tu kama vile hamiliki simu.
 
Kukojoa huku amesimama. Nimemfuma zaidi ya mara Tatu, anakojoa huku amesimama, nimemkemea hiyo tabia Lakini bado hasikii. Ila namvumilia tu
Hii nzuri, itamuepusha na UTI kwa kiasi flani mradi tu kama huwa anatawaza akimaliza shughuli..
 
Mke wangu kazi yake ni kunihadithia habari za mafanikio ya wazazi wake na wadogo zake kuanzia asubuhi hadi asubuhi. Mimi nikimweleza vitu positive kuhusu ndugu zangu anawaponda na kuwatoa kasoro! Pia ni kuongea nao na simu (especially mum wake) mara tano au sita kwa siku!
 
Wangu shida ipo kwenye kutumia simu, hapendi kabisa kutumia simu. Hapa sasa hivi simu ilikuwa na msg za kutoka juzi ndio kazisoma na nyingine nimesoma mimi. Yeye anasema tu soma, ambazo sio za muhimu futa.
Nikishatoka hapa nikitaka kumpata kwa urahisi labda nimpigie jirani.
On contrary, wangu yupo kwenye simu 24/7.
 
Mke wangu kazi yake ni kunihadithia habari za mafanikio ya wazazi wake na wadogo zake kuanzia asubuhi hadi asubuhi. Mimi nikimweleza vitu positive kuhusu ndugu zangu anawaponda na kuwatoa kasoro! Pia ni kuongea nao na simu (especially mum wake) mara tano au sita kwa siku!
Kuna siku atakuja kukuelezea mafanikio ya mume wa shoga yake au rafiki ako wa kiume.

Kua makini mkuu, pia fatilia kwanini awe hivyo je ni tabia ya hivi karibuni au ni toka umuoe.
 
Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi.

Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia.

Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia?

Je mimi nitakua nakosea nikimuacha huyu cha uongo?
Umewahi kumwambia tabia take ya uongo?
 
Mke wangu kazi yake ni kunihadithia habari za mafanikio ya wazazi wake na wadogo zake kuanzia asubuhi hadi asubuhi. Mimi nikimweleza vitu positive kuhusu ndugu zangu anawaponda na kuwatoa kasoro! Pia ni kuongea nao na simu (especially mum wake) mara tano au sita kwa siku!
Mbona umeongea kinyonge sana
 
Wangu shida ipo kwenye kutumia simu, hapendi kabisa kutumia simu. Hapa sasa hivi simu ilikuwa na msg za kutoka juzi ndio kazisoma na nyingine nimesoma mimi. Yeye anasema tu soma, ambazo sio za muhimu futa.
Nikishatoka hapa nikitaka kumpata kwa urahisi labda nimpigie jirani.
Kunamschana namfukuzia ana tabia hii, yaan ukipiga sim either haipatikani wiki nzima, ingine inaita tu haipokelewi, ukiandika sms inajibiwa baada ya wiki au 2. Hana line zingine kwamba kanipa za ziada. Na wala si kwamba hanipendi
 
Ana Gubu Mno, Akijinunisha Apa, kazi ninayo, Hata wiki nzima akiamua aongei na mimi ndo hvohvo, Ata nikijaribu kumweka chini tusuluishe nitatolewa maneno mabovu, kwake suluhu ni suala gumu.
 
Bado ni yule mwenye kumrudia baby daddy pindi mkikosana?
 
Back
Top Bottom