Legrema2050
JF-Expert Member
- Jun 5, 2021
- 606
- 708
Naomba nimsaidie kaziHe can't do sex kabisa amepata sukari tukiwa kwenye mahusiano but nimeamua kuwa nae Kama jinsi alivyo ,Ana vitu vingi Sana ninavopenda toka kwake zaidi ya sex
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nimsaidie kaziHe can't do sex kabisa amepata sukari tukiwa kwenye mahusiano but nimeamua kuwa nae Kama jinsi alivyo ,Ana vitu vingi Sana ninavopenda toka kwake zaidi ya sex
Kuna dada mmoja namfukuzia ana tabia hii hapendi kutumia simu kabisa. Anaweza kuiweka chaji ikajaa mpaka akasahau kama ana simu ipo chaji na saa zingine anaweza ishika usiku pekee napo kidogo tu kama vile hamiliki simu.Wangu shida ipo kwenye kutumia simu, hapendi kabisa kutumia simu. Hapa sasa hivi simu ilikuwa na msg za kutoka juzi ndio kazisoma na nyingine nimesoma mimi. Yeye anasema tu soma, ambazo sio za muhimu futa.
Nikishatoka hapa nikitaka kumpata kwa urahisi labda nimpigie jirani.
Hii nzuri, itamuepusha na UTI kwa kiasi flani mradi tu kama huwa anatawaza akimaliza shughuli..Kukojoa huku amesimama. Nimemfuma zaidi ya mara Tatu, anakojoa huku amesimama, nimemkemea hiyo tabia Lakini bado hasikii. Ila namvumilia tu
On contrary, wangu yupo kwenye simu 24/7.Wangu shida ipo kwenye kutumia simu, hapendi kabisa kutumia simu. Hapa sasa hivi simu ilikuwa na msg za kutoka juzi ndio kazisoma na nyingine nimesoma mimi. Yeye anasema tu soma, ambazo sio za muhimu futa.
Nikishatoka hapa nikitaka kumpata kwa urahisi labda nimpigie jirani.
Kuna siku atakuja kukuelezea mafanikio ya mume wa shoga yake au rafiki ako wa kiume.Mke wangu kazi yake ni kunihadithia habari za mafanikio ya wazazi wake na wadogo zake kuanzia asubuhi hadi asubuhi. Mimi nikimweleza vitu positive kuhusu ndugu zangu anawaponda na kuwatoa kasoro! Pia ni kuongea nao na simu (especially mum wake) mara tano au sita kwa siku!
Umewahi kumwambia tabia take ya uongo?Ni kweli hakuna aliekamilika, kwa upande wa kitabia wapo wenye hasira za karibu, kuongea sana, wavivu, na mengine mengi.
Wa kwangu ana tabia ya kudanganya, nampenda ila naona ntashindwa kulivumilia.
Kwa upande wenu, ni udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kuvumilia?
Je mimi nitakua nakosea nikimuacha huyu cha uongo?
Kabisa mkuu!Unamzungumzia mkeo au hawara yako? Maana ya mkeo yamalizieni chumbani kwenu. Nashauri tu
Mbona umeongea kinyonge sanaMke wangu kazi yake ni kunihadithia habari za mafanikio ya wazazi wake na wadogo zake kuanzia asubuhi hadi asubuhi. Mimi nikimweleza vitu positive kuhusu ndugu zangu anawaponda na kuwatoa kasoro! Pia ni kuongea nao na simu (especially mum wake) mara tano au sita kwa siku!
Na ww unaamini hayanuki [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] akili za wanawake banaSi huwa mnasema yale maji hayanuki
Harufu ya nini tena?
Unambaka kivipi..dushelele halipiti ama?Uneneneeeee kawa ka kipika na slivo mfupi hata mbususu yake nishasusa kula maana ka nambaka tu
Acha tu ila nimekuwa napiga nje sana
Kunamschana namfukuzia ana tabia hii, yaan ukipiga sim either haipatikani wiki nzima, ingine inaita tu haipokelewi, ukiandika sms inajibiwa baada ya wiki au 2. Hana line zingine kwamba kanipa za ziada. Na wala si kwamba hanipendiWangu shida ipo kwenye kutumia simu, hapendi kabisa kutumia simu. Hapa sasa hivi simu ilikuwa na msg za kutoka juzi ndio kazisoma na nyingine nimesoma mimi. Yeye anasema tu soma, ambazo sio za muhimu futa.
Nikishatoka hapa nikitaka kumpata kwa urahisi labda nimpigie jirani.
sawa ndugu mtangazajiHaya tunasubiri comments zingine hapa😛
Bado ni yule mwenye kumrudia baby daddy pindi mkikosana?Ana Gubu Mno, Akijinunisha Apa, kazi ninayo, Hata wiki nzima akiamua aongei na mimi ndo hvohvo, Ata nikijaribu kumweka chini tusuluishe nitatolewa maneno mabovu, kwake suluhu ni suala gumu.