Acha ujinga wewe nyie ndio mnapoteza huyo msanii wa kariakoo mpaka anajiona mkubwa kuliko wizkid[emoji1] [emoji1] [emoji1] ok anyway,sasa kwa kaupeo kako tudogo unamzungumziaje kiba tangu arudi kwenye game mpk position aliyofikia kwa sasa?kwa kukurahisishia swali nakubali diamond kamzidi kiba kwa sasa lkn alikaa nje ya game 3yrs karudi tena ngoma moja tu ya mwana anampumulia mtu kisogoni sasa too sababu za msingi kiba mziki ulipomshindia
kuna watu bado wanamchukulia poaAcha kumfananisha Diamond na vitu vya kijinga
Inabidi tuwaelekeze tu polepole wanafananisha Vx na vitz kisa eti zote ni garikuna watu bado wanamchukulia poa
Ata mm nimeshangaa sasa.....utamlinganishaje mtu anaefanya show karibia tatu kila mwezi na mtu anaefanya show moja baada ya miezi miwili achen ujinga bhanaAcha ujinga wewe nyie ndio mnapoteza huyo msanii wa kariakoo mpaka anajiona mkubwa kuliko wizkid
kwani hili jukwaa lilianzishwa kwa waliohama nyumbani kwa wazazi wao au waliofanikiwa tu?huyu kiba mnavomkomalia utasema nyie yenu mnayafanya ipasavyo....
or mtasema mu wakamilifu chini ya jua
si ajabu humu wengi wanaishi kwa kutumia migongo ya wazazi wao kusurvive,demu zao,jirani zao au rafiki zao lkn
mnavyomfanya kiba kama kaua
mumkome mtoto wa mwanaume mwenzenu kumwongelea kutwa kucha
laana sumaka nyie
NOTE:sijamsema mtu
Na ndiyo maana alipotoka kuimba na R. Kery alitulia utafikiri siyo mwanamuzikiTatizo la kibalaza nikua anasubilia fiesta hadi fiesta tu.
Acha kumfananisha Diamond na vitu vya kijinga
nakuona team Kiba unatoka povu,Unaongea tu kishabiki kiba mziki umemshinda kvp?minus diamond msanii gani anayemshinda kiba kutengeneza pesa kimuziki tangu arudi kwenye game,hayo maneno wanaongeaga mashoga sio watu wenye akili zao timamu na wenye kujua mambo yaendavyo [emoji90][emoji90][emoji90]
vanessa MdeeUnaongea tu kishabiki kiba mziki umemshinda kvp?minus diamond msanii gani anayemshinda kiba kutengeneza pesa kimuziki tangu arudi kwenye game,hayo maneno wanaongeaga mashoga sio watu wenye akili zao timamu na wenye kujua mambo yaendavyo [emoji90][emoji90][emoji90]
Kakuzalisha?Ali Kiba sasa nae aiangalie social life yake na ajaribu kuji manage..
Apunguze kuzaa-zaa ovyo huku mitaani..
Ana watoto wengi kaa sisimizi bwana..!!
Pesa aliyopata kiba shows mbili za kenya Plus MTV ukoo wenu wote amjaingiza mwaka wote 2016 na mwaka ndio unaisha hivyoTatizo la kibalaza nikua anasubilia fiesta hadi fiesta tu.