Real One
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 2,154
- 1,848
Acha ujinga wewe nyie ndio mnapoteza huyo msanii wa kariakoo mpaka anajiona mkubwa kuliko wizkid[emoji1] [emoji1] [emoji1] ok anyway,sasa kwa kaupeo kako tudogo unamzungumziaje kiba tangu arudi kwenye game mpk position aliyofikia kwa sasa?kwa kukurahisishia swali nakubali diamond kamzidi kiba kwa sasa lkn alikaa nje ya game 3yrs karudi tena ngoma moja tu ya mwana anampumulia mtu kisogoni sasa too sababu za msingi kiba mziki ulipomshindia