Udhaifu huu wa Ali Kiba unamfanya Diamond ang'are

Udhaifu huu wa Ali Kiba unamfanya Diamond ang'are

[emoji1] [emoji1] [emoji1] ok anyway,sasa kwa kaupeo kako tudogo unamzungumziaje kiba tangu arudi kwenye game mpk position aliyofikia kwa sasa?kwa kukurahisishia swali nakubali diamond kamzidi kiba kwa sasa lkn alikaa nje ya game 3yrs karudi tena ngoma moja tu ya mwana anampumulia mtu kisogoni sasa too sababu za msingi kiba mziki ulipomshindia
Acha ujinga wewe nyie ndio mnapoteza huyo msanii wa kariakoo mpaka anajiona mkubwa kuliko wizkid
 
usifosi wafanane hapo alikiba kashagota hapandi juu tena labda apande ndege ndio afike juu
 
Msimponde mfalme jamani!!
wakati mnampond diamond anapita nyuma yake..
" HAILETI PICHA NZURI"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Acha ujinga wewe nyie ndio mnapoteza huyo msanii wa kariakoo mpaka anajiona mkubwa kuliko wizkid
Ata mm nimeshangaa sasa.....utamlinganishaje mtu anaefanya show karibia tatu kila mwezi na mtu anaefanya show moja baada ya miezi miwili achen ujinga bhana
 
huyu kiba mnavomkomalia utasema nyie yenu mnayafanya ipasavyo....
or mtasema mu wakamilifu chini ya jua
si ajabu humu wengi wanaishi kwa kutumia migongo ya wazazi wao kusurvive,demu zao,jirani zao au rafiki zao lkn
mnavyomfanya kiba kama kaua
mumkome mtoto wa mwanaume mwenzenu kumwongelea kutwa kucha
laana sumaka nyie



NOTE:sijamsema mtu
kwani hili jukwaa lilianzishwa kwa waliohama nyumbani kwa wazazi wao au waliofanikiwa tu?
samahani nimeuliza tu
 
safi sana kiba, piga kazi mtaani wanyooke
 
Unaongea tu kishabiki kiba mziki umemshinda kvp?minus diamond msanii gani anayemshinda kiba kutengeneza pesa kimuziki tangu arudi kwenye game,hayo maneno wanaongeaga mashoga sio watu wenye akili zao timamu na wenye kujua mambo yaendavyo [emoji90][emoji90][emoji90]
nakuona team Kiba unatoka povu,
 
Unaongea tu kishabiki kiba mziki umemshinda kvp?minus diamond msanii gani anayemshinda kiba kutengeneza pesa kimuziki tangu arudi kwenye game,hayo maneno wanaongeaga mashoga sio watu wenye akili zao timamu na wenye kujua mambo yaendavyo [emoji90][emoji90][emoji90]
vanessa Mdee
 
Kitu hasa kinacho mfanya Kiba kutokufanya media tour ni kwamba Lugha haipandi, na njia pekee ni kukubali ukweli huo na kuanza kuhudhuria course ya Kiingereza pale British Counsel. Mziki na network ni mawasiliano. Kama mawasiliano ni duni basi ajue kua hata fika mbali.
 
Tatizo la kibalaza nikua anasubilia fiesta hadi fiesta tu.
Pesa aliyopata kiba shows mbili za kenya Plus MTV ukoo wenu wote amjaingiza mwaka wote 2016 na mwaka ndio unaisha hivyo
 
Umesema wote ni lulu hasa katika kuitangaza nchi kimataifa......Halafu unakuja tena kumponda kiba na visababu uchwara....kumbuka kila mtu amepita njia yake kufikia huo ululu..mwingine kwa kolabo mwingine bila kolabo..na maisha yanaenda
 
Mtoa post anakubaki afu anakataa,unasema wanawakilsha wote kimataifa halafu unarudi kinafiki sijui imeenda imerudi ,ukiona mtu anazngumziwa hivo ujue huyo ana nafas ,mbona hukumtaj Shetta umemtaj Kiba,
 
Back
Top Bottom