Udhaifu katika katazo la kuuza vyakula mchana wa ramadhani Zanzibar

Aisee... Upupu mtupu..!!! Unataka wasiofunga wakale wapi!? Kwanini imani yako ya kidini unataka kuwashirikisha wasio wa imani yako kinguvu..!??
 
Hizi nyuzi za namna hii huu mwezi Wa Ramadan ni nyingi sana

Uislamu upo katika vita kubwa sana dhidi ya makafiri
Mnataka MAKAFIRI wasiamini wanachokitaka kwa uhuru wao w kuabudu!?
 
Hizi nyuzi za namna hii huu mwezi Wa Ramadan ni nyingi sana

Uislamu upo katika vita kubwa sana dhidi ya makafiri
Ni kweli kabisa ndiyomaana nashangaa hata vitimoto vimedoda sana mitaani(havinunuliwi) kipindi hiki.
 
Kama kuna sehemu wanakataza watu wasipike au kuuza vyakula wakati wa Ramadhan ni wapumbavu wa hali ya juu kabisa.
 
hawa ndo akili urojo, kwan kila mtu ni mwan wa mtume, ufunge ww nisile mm pumbavu kabisa
 
Unafunga like unachokipenda,maji unakunywa,ndiyo umefunga nini!!?...na Nani kafunga akamwambia anatamani au anajionesha!?
Hapana.. mkristo anapofunga hatakiwi kula chochote kuanzia asubuhi mpk saa 12.30 jioni baada ya ibada ya jioni

Kumbuka ni kufunga na kusali kwa siku 40.

Mtu ambaye anaruhusiwa kula wakati wa kufunga ni mgonjwa tu (ambaye kitaalam inaonekana kuwa hawezi kukaa muda mrefu bila kula)

Huyu funga yake itaegamia ktk sala na toba pekee.

Funga kwa vitendo bila kulazimu matangazo kuwa umefunga

Kumbuka kuna tofauti kati ya kufunga na kukaa na njaa
 
Hata maduka yanayouza juisi na maji na biskuti ilibidi yafungwe 😂😂
 
Unguja nini?
 
Tunafunga ndiyo siku 40

Lakini maelekezo ni kuwa Funga kiroho (bila kujionesha kuwa umefunga) kwa maana kufunga ni ibada na imani.

Mtu aliyefunga kwa imani na kiroho hawez kutamani kula hata akiona chakula
Amina mtumishi
 
Una ushahidi gani
 
Hizi nyuzi za namna hii huu mwezi Wa Ramadan ni nyingi sana

Uislamu upo katika vita kubwa sana dhidi ya makafiri
Kama kweli umefunga usingeweza kuongea vibaya juu ya binaadam wenzako kisa Hutaki aishi atakavyo. Wewe ni Nani kuwahukumu wasio Waislam? Dini ya kweli ni ile inayoonyesha unyenyekevu, uvumilivu na upendo na sio visasi, husda, kejeli na matusi Sioni kwa nini umefunga [emoji2368][emoji2368]
 
Kibongo bongo

Uislamu ni Dini inayoshurutisha sijapata kuona yaani kila kitu nguvu tu

Yaani ukitaka mke wa kiislamu,we jifanye tu umebadili Dini Basi ni wepesi mno kukubali,

Na vile walilegezewa masharti kwa kula kitu Cha kafiri hakuna taabu ,ni Kama wanafuturu vyakula vyetu tu *****

Dini ambayo ukiitwa jina la kiaarabu tu Basi we muisilamu.

Halafu Wana tabia moja, pale mtu atakapo fanya Jambo nzuri iwe msaada fulani,utasikia

Yule jamaa ni muisilam sana,kana kwamba watu wa side nyingine wana roho mbaya ajabu na pengine kasaidiwa na mgalatia

Wanaongozwa kukaririshwa vitu vingi,e.g mtu akijua tu kusoma na kutafsiri Quran, Basi wanamuona Nani sijui

Kumbe ni lugha tu masikini.

Dini iliyojikita zaidi kwenye mahitaji ya kimwili kuliko kiroho.

Cha ajabu waumini wenyewe wanaongoza kula mchana Nina ushahidi kwa 80%ulipinga tafiti, fanya tafiti zaidi ya miaka mitano

Hebu fikiria,

Mtu anafunga lakini kutwa ananuna Haina mfano ,kistaarabu mtu unatoka zako kwenda kupata lunch ,Basi akigundua sura inabadilika Kama nini

Msibishe tunao humu maofisini.

Poleni sana,

Anyway tunawatakia mfungo mwema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…