Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inahitaji umakini kidogo.nimejitahidi kusoma mara mbilimbili lakini wapi, sijaelewa.
[emoji23][emoji23][emoji23] hasira Tena?Waislam mnapaswa kujitafakari na hii mifungo yenu, mwaka huu hizi sikukuu za mifungo ya Ramadhan imenikuta Tanga, hapa unakuta watu wengi wamefunga ajabu wanakuwa na hasira sana, wamekata tamaa na wala hawana nuru usoni mwao, kama wamelazimishwa. Mfungo unapaswa kuwa kiroho, sio ufunge alafu ukiulizwa swali hata kama upo kweny biashara basi ujibu hovyo, au ukiona chakula basi umkasirikie aliye na chakula. Acheni kupumbazwa na hizi dini za waarabu
Ni utamaduni kwa kweli mi nakaa na dada anajiuza ...ashvi anashinda ndani anasubiri mwezi uishe kazi iendelee...Kwani huko ni kufunga au ni mila na desturi?maana hata mashoga huku mtaani wanafunga!
Hivi hujui kuwa muislamu ni wewe na si watu wengine? Peponi utaenda peke yako, au hujui dini yako. Uislam si dini ya watu woteHii inchi siyo ya mtume kwamba waisilam wakifunga ndio migaawa ifungwe