Statics
JF-Expert Member
- Dec 29, 2017
- 394
- 1,015
Kama Hamza ni gaidi kwanini hakuua raia wa pale kwenye daladala na waenda kwa miguu ?Mkuu hakuna ushahidi kua hamza alidhulumiwa madini na polisi.
Walioanzisha hii kampeni ni washirika wa hamza ama magaidi wenzake ambao walijaribu ku divert attention kutoka kwa ugaidi wa hamza kwenda polisi, inaitwa blame shifting.
Hii ni kampeni mahausi iliyopangwa na magaidi wenzake na hamza ili kuondoa ama ku divert ile gravity ya ugaidi.
Nakuhakikishia tukio kama la hamza litatokea iwapo polisi hawatawadhibiti hawa wafuasi wa hamza gaidi.
Hamza ni gaidi na ameonekana kwenye clip akisema mwenyewe anampigania allah. Sasa nadhani atakua amezungukwa na mabikra 72 anawapelekea moto tu bila kuchoka kama alivyoahidiwa.