Udhaifu wa hoja kwamba Hamza alitekeleza mauaji kwa sababu alidhulumiwa na polisi

Kama Hamza ni gaidi kwanini hakuua raia wa pale kwenye daladala na waenda kwa miguu ?
 
Unapotuletea udhaifu wa hoja pia,utuletee na uimara wa hoja yenyewe,au umesha jipa upande uliouchagua.
 
Kama Hamza ni gaidi kwanini hakuua raia wa pale kwenye daladala na waenda kwa miguu ?
Hii sio hoja. Kutokuua raia hakunfanyi asiwe gaidi. Ama ugaidi ni kuua raia tu ila ukiua raia walioko kwenye uniform sio ugaidi?

Jambo la pili, huyu jamaa amesema mwenyewe anampigania allah, unahitaji nini tena kujua kama hakua gaidi?
 
Kwani huyo Allah ana ugomvi na Polisi ndio asaidiwe kupigana nao?
 
Hio ilikuwa ni vita kati ya Hamza na jeshi la polisi... Huwezi kuita Ugaidi huo..

Una hakika kuwa ile video ni kweli na sio kwamba imeeditiwa ? Yaani ni propaganda iliyoletwa na watu wanaomsingizia yeye gaidi !!
Wewe ushahidi kwamba kulikua na majibizano ya risasi kati ya polisi na hamza uliupata wapi?
 
Hujajibu swali langu mkuu !!

Majibizano ya risasi kila mtu ameona... Je, Wewe una ushahidi unaoonesha dhahiri Hamza akiongea hayo maneno ?

Kama unayo tuma hapa tuichambue.
Hamza alikuwa Gaidi kwa viwango vyote.Suala la kudhulumiwa fedha na Polisi ni Janja ya Magaidi wenzake kukwepesha mjadala kwani hakuna mtu hata mmoja aliyethibitisha hilo.
Pili uwezo wake Mkubwa wa kutumia AK-47 wakati hakupitia JKT unatoa ushahidi mwingine wa mafunzo ya siri aliyokuwa nayo.
Wito wangu ni kwa Jeshi la Polisi kuusaka Mtandao wa Hamza na kuutokomeza.
 
Cc: chura aka Behaviourist
 
Wale wafanyabiashara wa mahenge waliokuja kuuza Madini yao dsm na kisha baadae kutekwa na kina Afande bageni na kina zombe kisha wakawaua.
Wale wafanyabiashara walikuwa heavily guarded?
Nakubaliana na nadharia kwamba yule jamaa kuna dhulumati alifanyiwa na Polisi ndio maana akawa anachuki nao.
Na kwataarifa yako Polisi ni watu wazulumati sana Kati ya kila watu 5 kuna mmoja amedhulumiwa au kuonewa na polisi
Shukrani kwa Rais Kikwete kuamua kuunda tume ya kijaji kuchunguza na ukweli ukajulikana. Manake Polisi walishasema eti wale ni majambazi kumbe sio.

Hili jambo Rais Samia aliundie tume ya kijaji ichunguze ukweli ujulikane
 
Mbona umekuja na hamaki kubwa wewe ni mzaliwa wa polisi baraksi? Yaani wewe ndiye kiwango cha juu kabisa cha watu wenye akili!
 
Reactions: BAK
Waanzie huko kwenye chama chake
 
Hamza alikuwa Gaidi kwa viwango vyote.Suala la kudhulumiwa fedha na Polisi ni Janja ya Magaidi wenzake kukwepesha mjadala kwani hakuna mtu hata mmoja aliyethibitisha hilo.
Hii sio hoja mkuu,, kwani kuna aliyeweza kuthibitisha kwamba ni hapana hakudhulumiwa ?
Pili uwezo wake Mkubwa wa kutumia AK-47 wakati hakupitia JKT unatoa ushahidi mwingine wa mafunzo ya siri aliyokuwa nayo.
Wito wangu ni kwa Jeshi la Polisi kuusaka Mtandao wa Hamza na kuutokomeza.
Una hakika gani kama hakupitia JKT ?
 
Hujajibu swali langu mkuu !!

Majibizano ya risasi kila mtu ameona... Je, Wewe una ushahidi unaoonesha dhahiri Hamza akiongea hayo maneno ?

Kama unayo tuma hapa tuichambue.
 
Attachments

  • 2900983_Maneno_aliyoongea_Hamza_kwa_IGP_Sirro.__600_X_480_.mp4
    3.7 MB
Haya na Hamza ameanza kuua askari kwa jina la Allah, na wewe ukae kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…