Udhaifu wa hoja kwamba Hamza alitekeleza mauaji kwa sababu alidhulumiwa na polisi

Ni waislam wachache Sana wako kama wewe..wengi wamejikita kumtetea,kumsifu Na kupondea polisi
 
Okay,, definition imetolewa kwenye Oxford dictionary.. An authentic source..

Wewe definition yako ni ipi ?
Hamna defn ya Oxford inayosema terrorism is only for civilians...maybe especially but not limited to
Hii link[emoji117] terrorism
Dictionary of law by Oxford university:
The calculated use of violence or threat of violence to inculcate fear. Terrorism is intended to coerce or intimidate governments or societies in the pursuit of goals that are generally political, religious, or ideological.
 
Nimejitahidi sana kuzuia mdomo wangu juu ya kadhia ya bwana hamza kwa sababu ina sintofahamu kubwa sana ambayo kila upande wa wanaodai lao wanazo hoja zao.
 
Sijajua umri wako lakini ningependa kujua kwamba je uliwahi kusikia sakata la wauza madini wa Morogoro na kesi maarufu ya afande Zombe, Bageni na wenzake? Unafahamu tume maalumu ya jaji kipenka ilisemaje? Ukijibu haya machache nitaendelea...
 
Ni kweli uliona yale maneno yametoka kwenye kinywa chake ?? Au kwasababu umesikia sauti tu ndo unahitimisha kuwa ndo ametamka yeye ? Vp ikiwa sauti imewekwa tu ?

Unaweza kuthibitisha kuwa kweli alitamka yale maneno kutoka kinywani kwake ?
Tukienda Hivi tunapoteza Muda sheikh Sisi SIO watoto
Ni Sawa Na gwajima kusema Ile video imeeditiwa.
Mashahidi wamekiri + video imeonesha bado unabisha.
Kwa kubisha kwa style yako siwezi kuprove hata jua lipo.
Tusipoteze Muda bye
 
Kama ingekua plan ya magaid kueneza kua kazulumiwa Dhahabu why amza aongee vile na asiongee kua kadhulumiwa dhahabu ili iwe kweli?
 
This shows your ignorance...

There are 2 parts of Executive,, The president and the cabinet...

There is no way police can be referred to as government officers..

This is a clear contradiction from your definition..
According to you
 
Ninapokuwa naona watu wanakufa kwenye muvi kwa risasi nilikuwa naona ni uigizaji tu lakini baada ya hamza kuwatwisha risasi wale jamaa nimebadilisha mtazamo kumbe risasi zinatwaa uhai
 
Kwa hiyo utafiti uliofanya wewe peke yako ndo unalazimisha sisi tuuamini? Na sisi tunautafiti wetu ndg.
 
Maono yangu juu ya inshu hii ni kama ifuatavyo,
Sipingani na kilichosemwa na viongozi wetu juu ya ugaidi wa jamaa. Ila hizi silaa wengi wanajifunza YouTube kila kitu kuanzia kufungua mpaka matumizi.
Hisia zangu zinanambia jamaa ni mtumiaji mzuri wa mirungi acheni mas'hara hawa wasomali ulaji wao wa miraa ni tofauti, usishangae kukuta akijisifia kutokulala wiki 2. Vile vile katika hizi majiris nyingi za gomba story nyingi huwa ni za kipuuzi puuzi tu, mara nyingi walevi hawa asubuhi baada ya mikesha hutumia vidonge vya action, AMA mukolin hii dawa ya kikohozi chupa moja pamoja na energy drink za azam.
Tukubali tukatae kuchanganyikiwa kupo huyu kafanya hili mmelifaham lakini upuuzi mwingi unafanyika huku mitaani kmyakmya.
Jaribu kuulizia watumiaji wa mirungi hasira inayoletwa na hiki kilevi haielezeki wenyewe huita kisirani. Na huja bila sababu za msingi, wengi watasema mengi ila huyu chizi nahisi alisukumwa na kisirani cha gomba.Ahsante.
 
Kupigana kwa silaha ni timing tu.Je unajuaje Kama Siku ya kudhulumiwa walimuwahi wakampokonya siraha yake na kwa kuwa kibonge yule bila silaha asingeweza kufurukuta mbele ya polisi basi ilibidi akajipange aje siku nyingine na silaha nyingine? hivyo wewe pia unapaswa kufikiri nje ya box. Unakumbuka Yale mauaji ya wale wafanyabiashara wa madini wa mahenge Kule msitu wa Pande? Kiufupi linapokuja swala la mpunga usije ukawaamini hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…