Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Wadau naomba mnijuze, je wadhifa wa mtu unaweza kumfanya achoke mapema na kuanza kujisikia kuumwa sana hadi kufikia kuachia kiti. utakuta kiongozi wa dini haruhusiwi kuoa ila anapofikia umri wa 80 bas anakuwa mgonjwa na magonjwa makubwa ambayo humfanya aachie ngazi kuendelea na majukumu. Sisi huwa tunaumwa hayo magonjwa kutokana na stress labda za maisha au watoto...lakini hawa viongozi wa dini hawana stress Ya maisha na hawana watoto wanao wasumbua
Naomba nijuzww
Naomba nijuzww