Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

Kuna comments nyingine ni za ajabu sana, sasa ccm iharibu nchi kisa mechi ya siimba na yanga imeahirishwa.
 
Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.

Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?

Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi. Suala la Mwinyi kuzindua kitabu si issue ya Kitaifa kwa nchi hii kama suala la Simba na Yanga.

Kwenye Simba na Yanga ndipo ambapo Chadema na CCM husahau tofauti zao na kurudi kwenye team zao. Ndo maana hata chadema,act wanavaa jersey za yanga pamoja na kuwa ni za Njano na Kijani.

Huu ni mwanzo wa kuonesha udhaifu ambao miaka yote tunaupigia kelele. Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?
Wana ka msemo kao wanasema 'Tumpe Muda', wanasahau ya kuwa msingi mbovu huaribu nyumba nzima
 
namuonea huruma mama sana.

wale aliochagua kuwafurahisha,wana kawaida ya kutoridhika.
hayati mwenda zake kwa kujua hilo,aliamua kudeal na wanyonge maana alijua 100%huko atapata gwala[emoji109] la kweli lisilo na unafiki ndani yake.

sharti ni moja tu,afanye kama mwendazake,au amkatae mazima,na faida zake ndio hizi ameanza kuziona.
 
Mtu anajiwekea vipaumbele vyake tu anavyoona yeye tofauti na ilani iliyonadiwa halafu watu wanapiga makofi mbaya nyie Tz ni kiboko. Kwani ssh katika vipaumbele vyake au sera zake mmeshawahi kusikia michezo inaizungumziaje? Yeye anataka michezo ya wanawake basiiii. Mama oyee
 
Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.

Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?

Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi. Suala la Mwinyi kuzindua kitabu si issue ya Kitaifa kwa nchi hii kama suala la Simba na Yanga.

Kwenye Simba na Yanga ndipo ambapo Chadema na CCM husahau tofauti zao na kurudi kwenye team zao. Ndo maana hata chadema,act wanavaa jersey za yanga pamoja na kuwa ni za Njano na Kijani.

Huu ni mwanzo wa kuonesha udhaifu ambao miaka yote tunaupigia kelele. Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?
Umesauhau, imepangwa baada ya watu kufuturu
 
Hata kurejea kwa uharifu wa vibaka mijini, hasa Dar, si dalili njema. Ni ishara kuna tatizo lakini linaongelewa na kushughulikiwa kisasa (km hotuba)
watu wanafanya mzaha,lakini ukweli ni kwamba mpaka vibaka na majambazi wana imani na mama[emoji1][emoji1].
maana mama ni mlezi,mama ana huruma,mama ana ubinaadam.kifupi wana uhakika mambo hayataharibika hata iweje.
 
Wenawe!

Sasa simba na yanga ni swala la kitaifa...!!? angalia ushabiki wa mpira utakuua bure
 
Nchi hii kwa jinsi historia inavyoonyesha, waziri hupewa wizara maalum, akiharibu huwa anatupwa wizara ya michezo.
 
Back
Top Bottom