mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Ilitangazwa masaa 4 kabla ya mechi. Utopolo pia walijua kwani waliarifiwa wote, ila utopolo hawakukubali masna waliona ni upenyo wa kukwepa kichapo!Hivi kweli Bi mkubwa ndio kasababisha game isogezwe mbele, mimi najiuliza tu Simba walijuaje kwamba mchezo umesogezwa mbele wakachelewa kuja uwanjani kwa muda uliopangwa mwanzo.