Udhaifu wa Serikali hii tutakuja ona madhara yake baadaye. Leo ni ishara ndogo mojawapo

Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?
Yaani JPM huyu huyu aliyekuwa mbele hata mwenyewe kuvunja Katiba ya Jamhuri ya Muungano, huku akiacha maujinga ya uvunjwaji katiba yaendelee bungeni leo hii ndo angekuwa mkali kwa TFF?

NI taasisi ngapi chini ya utawala wa JPM zilikuwa zinafanya mambo ya hovyo hovyo?! Kwani hao TFF hii ni mara ya kwanza kufanya maujinga kwenye soka?!

Moja ya shida kubwa ya taifa hili ni CCM na Magenge yake, na ndo maana, iwe JPM, JK, SSH, Mkapa, au yeyote yule, hakutakuwa na jipya!!

Kwanza moja ya ujinga mkubwa wa CCM kulindana, na ndo maana hata huyo JPM, licha ya kuendelea kutupigia kelele kwamba "...nchi hii imeliwa kweli", hadi umauti unamkuta hakufanya chochote kwa mwanasiasa yeyote ingawaje kila mwenye akili zake anajua hii nchi imeumizwa sana na wanasiasa, especially high profile politicians!

Hata huyo mbaya wake Membe, aliishia tu kusema "...kule Lindi mtu amekula Sh. 20 Billion"! Kaogopa hata kumtaka kwa jina!!!
 
Hivi kweli Bi mkubwa ndio kasababisha game isogezwe mbele, mimi najiuliza tu Simba walijuaje kwamba mchezo umesogezwa mbele wakachelewa kuja uwanjani kwa muda uliopangwa mwanzo.
Taarifa ilitolewa kwa timu zote ndio maana utopolo wakasema wao wataenda saa kumi na moja tena walitoa taarifa kwa maandishi
 
Magu alisema TUTAMKUMBUKA, huu upuuzi wa leo TFF, bodi ya ligi, Viongozi wa club wangekuwa shimoni central.

Huku ndio kuchezewa kwenyewe na tayari tumesikia ujambazi Dar.

Sent from my HRY-LX1T using JamiiForums mobile app
Magu tumkumbuke kwa kipi aswa, yeye ndio alikuwa mwalimu wa kuvuruga mambo, Magu utamkumbuka wewe na shangazi zako labda
 
Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.

Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?

Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi. Suala la Mwinyi kuzindua kitabu si issue ya Kitaifa kwa nchi hii kama suala la Simba na Yanga.

Kwenye Simba na Yanga ndipo ambapo Chadema na CCM husahau tofauti zao na kurudi kwenye team zao. Ndo maana hata chadema,act wanavaa jersey za yanga pamoja na kuwa ni za Njano na Kijani.

Huu ni mwanzo wa kuonesha udhaifu ambao miaka yote tunaupigia kelele. Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?
Alieagiza mechi iahirishwe ni wizara, wizara inaongozwa na waziri. Na waziri Bashungwa alichaguliwa kuwa waziri wa michezo na Magufuli. Hivyo kama unataka kumlaumu mtu, mlaumu Magufuli na sio mama
 
Msilete chuki na uchochezi kwa sababu ya udhaifu wa yanga.

Serikali iliposhauri muda usogezwe,kwa masaa mawili,kama yanga wasingekuwa na hofu wasingesusa.

Baba anaweza kufanya makosa lakini wewe mtoto ukaamua kuadhibu washabiki wa mpira ili baba atukanwe,ni utovu wa nidhamu.
 
Natamani kusikia Waziri wa michezo akitumbuliwa na nafasi yake akiteuliwa Leodga Tenga itakaa vizuri.
 
Alieagiza mechi iahirishwe ni wizara, wizara inaongozwa na waziri. Na waziri Bashungwa alichaguliwa kuwa waziri wa michezo na Magufuli. Hivyo kama unataka kumlaumu mtu, mlaumu Magufuli na sio mama
Wewe huna akili hata kidogo. Unadhani wizara itajiamulia jambo zito kama hilo bila kupokea maagizo kutoka juu? Rais yuko live kuzindua likitabu lisilo na maana muda wa mechi, unadhani mechi ingewezekena kuchezwa huku Rais akiwa anahutubia?

Rais Samia ni mhusika mkuu wa hili sakata, hata kama Bashungwa atatolewa kama sadaka,kama nyinyi wapumbavu wachache mnavyotaka.
 
Mama Samia hawezi kataza mechi isichezwe. Ni hayo masalia ya Magufuli yaliyokuwa yanataka kujipendekeza kwa mama. Inabidi Mama Samia ayafukuze masalia yote ya Magu yakalinde kaburi huko
 
Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.

Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?

Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi. Suala la Mwinyi kuzindua kitabu si issue ya Kitaifa kwa nchi hii kama suala la Simba na Yanga.

Kwenye Simba na Yanga ndipo ambapo Chadema na CCM husahau tofauti zao na kurudi kwenye team zao. Ndo maana hata chadema,act wanavaa jersey za yanga pamoja na kuwa ni za Njano na Kijani.

Huu ni mwanzo wa kuonesha udhaifu ambao miaka yote tunaupigia kelele. Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?
Icho kitabu kinatusaidia nn
 
Msilete chuki na uchochezi kwa sababu ya udhaifu wa yanga.

Serikali iliposhauri muda usogezwe,kwa masaa mawili,kama yanga wasingekuwa na hofu wasingesusa.

Baba anaweza kufanya makosa lakini wewe mtoto ukaamua kuadhibu washabiki wa mpira ili baba atukanwe,ni utovu wa nidhamu.
 
Serikali ina ahirisha match ya Simba na Yanga eti sababu Mwinyi anazindua kitabu. Huu ni wendawazimu.

Anayetaka kuhudhuria Uzinduzi wa Mwinyi si aende na anayetaka kwenda angalia mpira si aende?

Huu ndo udhaifu ambao tunaukataa miaka yote. Kuchanganya mambo binafsi ya Serikali na Wananchi. Suala la Mwinyi kuzindua kitabu si issue ya Kitaifa kwa nchi hii kama suala la Simba na Yanga.

Kwenye Simba na Yanga ndipo ambapo Chadema na CCM husahau tofauti zao na kurudi kwenye team zao. Ndo maana hata chadema,act wanavaa jersey za yanga pamoja na kuwa ni za Njano na Kijani.

Huu ni mwanzo wa kuonesha udhaifu ambao miaka yote tunaupigia kelele. Haya angekuwa ni Magufuli ameamua hili tungemwita ni dhaifu na dikteta. Lakini kwa Samia tusemeje? Tuendelee kusifu na kuabudu?

Serikali hii dhaifu kwa sababu ya Simba na Yanga.

Wajameni!

Tungehusisha japo na bunge la Jobo basi?

Mama kaza uzi hapo hapo pana magenge yalizowea ya kharam vya kuchinja haviliki.
 
watu wanafanya mzaha,lakini ukweli ni kwamba mpaka vibaka na majambazi wana imani na mama[emoji1][emoji1].
maana mama ni mlezi,mama ana huruma,mama ana ubinaadam.kifupi wana uhakika mambo hayataharibika hata iweje.

Mother Theresa anachokitafuta atakipata,
 
Back
Top Bottom