Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,718
- 6,979
Sio kosa? Nani amekwambia? Na wewe ni miongoni mwa wanasheria NGULI au WASOMI?Jamii yetu kuna mambo haielewi na ukiyasema hadharani, unaonekana wa ajabu.
SIO KOSA KISHERIA MTU KUTEMBEA NA MUME AU MKE WA MTU.
Kwani sasa ikoje? Shida ni moja mwakubusi sio mpuuzi kama weweSio kosa? Nani amekwambia? Na wewe ni miongoni mwa wanasheria NGULI au WASOMI?
Kama na wewe ni Mwanachama wa TLS basi siwezi shangaa TLS kuwa ilivyo sasa na kabla ya sasa
Wanaume wakiweza kujitambua watasaidia taifa kufika mbali lakini siku hizi wanaume wamegeuka walalamishi kama mademu tu no wonder wanashindwa kusapoti hata hussle za wanaume wenzao wanabaki kusimp na madwmu sababu ya nyege za kipuuzi tu. Mwanaume atafanyiwa ukatili hautasikia dume linasaidia au kupuga kelele wanaume wamegeuka fwminists hili ni tatizo.Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.
Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa madai ya kutembea na Mke wa mtu.
Inasikitisha sana, maana jamaa anaonekana uso umevimba, anavuja damu, yuko uchi wa mnyama na analazimishwa kucheza taarabu huku akikata mauno. Jamaa anaomba maji, lakini ananyimwa huku akitukanwa matusi ya nguoni.
Soma Pia:
- Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
- Jeshi la Polisi lawakamata watuhumiwa 4 kati ya 6 waliofanya tukio la kumlawiti binti wa 'Yombo'. Wasema binti yupo salama
Najiuliza swali, Je, ni sahihi Mwanaume kudhalilishwa lakini siyo sahihi mwanamke kudhalilishwa?
Kwanini tunakuwa na double standards ?
Kama tunataka haki, basi haki hiyo iwanufaishe wote pasipo kupendelea jinsia moja.
Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.