Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Ukitembea na mke au mume wa mtu inakuwa ni kesi ya jinai au madai?Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ni kosa kisheria kutembea na mke au mume wa mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukitembea na mke au mume wa mtu inakuwa ni kesi ya jinai au madai?Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ni kosa kisheria kutembea na mke au mume wa mtu
Huwezi amini asilimia 90 ya wabongo wanaamini ni jinai(unaweza ukashtaki kama umemkuta chumbani kwako) ila siyo kwake au gesti.Yaani kunyandua mke wa mtu sio kosa kisheria hilo limekaa je. Wansheria wetu husikeni hapa kutujuza