Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.

Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa madai ya kutembea na Mke wa mtu.

Inasikitisha sana, maana jamaa anaonekana uso umevimba, anavuja damu, yuko uchi wa mnyama na analazimishwa kucheza taarabu huku akikata mauno. Jamaa anaomba maji, lakini ananyimwa huku akitukanwa matusi ya nguoni.

Soma Pia:

Najiuliza swali, Je, ni sahihi Mwanaume kudhalilishwa lakini siyo sahihi mwanamke kudhalilishwa?

Kwanini tunakuwa na double standards ?

Kama tunataka haki, basi haki hiyo iwanufaishe wote pasipo kupendelea jinsia moja.
Wanafalsafa wanadai hata dunia ni ya kike sasa hapo unategemea nini?
 
Jamii yetu kuna mambo haielewi na ukiyasema hadharani, unaonekana wa ajabu.

SIO KOSA KISHERIA MTU KUTEMBEA NA MUME AU MKE WA MTU.
Labda hauna ufahamu na hili ila Nadhani lilishawahi kujibiwa na mkuu 666 chata muda kidogo ngoja ninukuu jibu lake .

"
Ndio ni kosa kisheria, hii uitwa ugoni, na hasa wewe mwizi ukikamatwa live, adhabu yake yaweza kua fine au kifungo vile vile, kwa mujibu wa sheria ya ndoa... lakini sheria imetilia mkazo sanaa kwenye kumuoa au kuishi na mke wa mtu ambae uenda ametengana tu na mmewe bila talaka au wamekorofishana tu, ambapo Kifungu cha 152 ( 1) cha sheria ya ndoa kinakifanya kitendo cha kufunga ndoa na mwanamke ambaye bado ndoa yake haivunjwa kisheria kuwa ni kosa.

Kifungu kidogo ( 1 ) na ( 2 ) kinasema kuwa mme aliyemuoa mke huyo na mke mwenyewe aliyeolewa wote kwa pamoja wanahesabika kutenda kosa hili. Na kifungu kidogo cha ( 3 ) kinasema kuwa hao wote wawili wakithibitika kutenda kosa hilo basi adhabu yao ni kifungo kisichozidi miaka 3 jela"

Mwisho wa kunukuu.
 
Wanaume wakiweza kujitambua watasaidia taifa kufika mbali lakini siku hizi wanaume wamegeuka walalamishi kama mademu tu no wonder wanashindwa kusapoti hata hussle za wanaume wenzao wanabaki kusimp na madwmu sababu ya nyege za kipuuzi tu. Mwanaume atafanyiwa ukatili hautasikia dume linasaidia au kupuga kelele wanaume wamegeuka fwminists hili ni tatizo.
Dawa ni wanawake wasiwe wapiga kura ni upumbavu kuruhusu wanawake kuchagua viongozi wa taifa ..pia tutenge kazi ambazo wanawake wanaweza au wanatakiwa kuwa wengi zaidi mfano ualimu wa shule za msingi wanawake wanaweza kuwa asilimia 70% shule za sec wanawake wanaweza kuwa asilimia 50%.
 
Sio kosa? Nani amekwambia? Na wewe ni miongoni mwa wanasheria NGULI au WASOMI?

Kama na wewe ni Mwanachama wa TLS basi siwezi shangaa TLS kuwa ilivyo sasa na kabla ya sasa
Ni vyema ukampinga kwa facts badala ya kuulizia aliyemwambia. Pengine ungeweza kuweka vifungu vya sheria vinavyoonyesha kuwa ni kosa
 
Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.

Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa madai ya kutembea na Mke wa mtu.

Inasikitisha sana, maana jamaa anaonekana uso umevimba, anavuja damu, yuko uchi wa mnyama na analazimishwa kucheza taarabu huku akikata mauno. Jamaa anaomba maji, lakini ananyimwa huku akitukanwa matusi ya nguoni.

Soma Pia:

Najiuliza swali, Je, ni sahihi Mwanaume kudhalilishwa lakini siyo sahihi mwanamke kudhalilishwa?

Kwanini tunakuwa na double standards ?

Kama tunataka haki, basi haki hiyo iwanufaishe wote pasipo kupendelea jinsia moja.
Sisi wanaume tumeumbwa kutawala na kuwacolonize wanawake na viumbe vyote viijazavyo dunia ndiyo maana mfumo jike wa kishetani umeundwa ili kumuangamiza mwanaume duniani na madhara yake ni makubwa sana na yameshaanza kuonekana waziwazi.

Nb. Wanaume msimamo wetu ni ule ule hatutaki kutetewa na ikiwa wanawake watataka kutupanda kichwani ni kuwapiga mimba , kuwachezea na kuwatelekeza alafu baadae tunadai watoto wakisha kua. Ole wetu kama tutachukua cheti cha ndoa
 
Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.

Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa madai ya kutembea na Mke wa mtu.

Inasikitisha sana, maana jamaa anaonekana uso umevimba, anavuja damu, yuko uchi wa mnyama na analazimishwa kucheza taarabu huku akikata mauno. Jamaa anaomba maji, lakini ananyimwa huku akitukanwa matusi ya nguoni.

Soma Pia:

Najiuliza swali, Je, ni sahihi Mwanaume kudhalilishwa lakini siyo sahihi mwanamke kudhalilishwa?

Kwanini tunakuwa na double standards ?

Kama tunataka haki, basi haki hiyo iwanufaishe wote pasipo kupendelea jinsia moja.
Kuna unyanyasaji mwingine wa kukosea uwekezaji,hiyo ni hatari kuliko hata kubakwa
 
TLS na LHRC ni Taasisi Double Standard wapo kama vyama vya siasa kuangalia ruzuku na kucheza mdundo uliopo wakati huo

Hawa ndio wakuongoza mapambano ya haki na sheria lakini wanasikitisha kwa kuwa wana ongozwa na Sisi tusiojua ata hizo sheria

Wasomi, wabobezi, nguli nk lakini unabakia kukumbuka sera ya Mh Rungwe...!
Unaongea ty, ukishawahi kwenda kwenye legal aid clinic ya LHRC , Unajua LHRC wana legal aid provider wangapi nchi nzima. Watu wanapewa misaada ya kisheria kila siku. Wanasimamia hata kesi za wanaume.
 
Huu uzi wa 2016 ndio huo huo wa hizo clip

Na kinachozungumziwa tu si haki kisheria ila reaction ya watu. Ukipitia hiyo thread utaona kuna watu wengi tu waliona hiyo adhabu ni stahiki yake na uzi haukufutwa ila kuhusu huyu mwanamke, nyuzi zote zilizokuwa na mawazo tofauti zilifutwa

Hiyo ndio mantiki ilipo
Watu wana mihemuko balaa. Na huyo jamaa nasikia alikuja kumuoa mchepuko.
 
TLS na LHRC ni Taasisi Double Standard wapo kama vyama vya siasa kuangalia ruzuku na kucheza mdundo uliopo wakati huo

Hawa ndio wakuongoza mapambano ya haki na sheria lakini wanasikitisha kwa kuwa wana ongozwa na Sisi tusiojua ata hizo sheria

Wasomi, wabobezi, nguli nk lakini unabakia kukumbuka sera ya Mh Rungwe...!
Maneno mengi kisa Mwabukusi ni Rais wa TLS. Huyo jamaa katetewa Sana mpaka kesi iligunguliwa. Sijui ulikuwa wapi wewe mlalamishi.
 
Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.

Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa madai ya kutembea na Mke wa mtu.

Inasikitisha sana, maana jamaa anaonekana uso umevimba, anavuja damu, yuko uchi wa mnyama na analazimishwa kucheza taarabu huku akikata mauno. Jamaa anaomba maji, lakini ananyimwa huku akitukanwa matusi ya nguoni.

Soma Pia:

Najiuliza swali, Je, ni sahihi Mwanaume kudhalilishwa lakini siyo sahihi mwanamke kudhalilishwa?

Kwanini tunakuwa na double standards ?

Kama tunataka haki, basi haki hiyo iwanufaishe wote pasipo kupendelea jinsia moja.
Wanaume KAZI mnayo Yani hamthaminiwi kabisa
 
Back
Top Bottom