Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

Udhalilishaji kwa wanaume mbona haupigiwi kelele?

Wakibainika sheria itachukua mkondo wake. Huyu hapa alifungwa kwa kumdhalilisha mwanaume
Na hivi ndivyo inapaswa kuwa. Lakini, tatizo ni kwamba anapodhalilishwa Mwanaume husikii kelele kama ambavyo akidhalilishwa Mwanamke.
 
Kutwa kucha mko bize na wanawake unadhani mtakumbukwa na nani km nyie wenyewe mmejisahau,
 
Ndio maana mm na madem washenzi washenzi ni paka na panya.

Mwanamke hata akinikopa 50k ajue atasaini then atake asitake atalipa tu.

Huwa wanajikuta wao ni wakupewa kipaumbele sana hasa kwenye suala la maslahi.

Kumwonea huruma huyu kiumbe ni kukaanga maji.
 
Sio kosa? Nani amekwambia? Na wewe ni miongoni mwa wanasheria NGULI au WASOMI?

Kama na wewe ni Mwanachama wa TLS basi siwezi shangaa TLS kuwa ilivyo sasa na kabla ya sasa
Ndugu, mimi siyo mwanasheria.

Ila ninafahamu kuwa, Tanzania bara, ugoni siyo jinai.
 
Ndugu, mimi siyo mwanasheria.

Ila ninafahamu kuwa, Tanzania bara, ugoni siyo jinai.
Sio jinai, ukimfumania mtu unaenda kufungua kesi ya madai. Mgoni anaweza kulipishwa hata elfu 25 tu. Kwa niki usulbuane na mtu huko makakamani. Muache aende tu.
 
Tatizo raia wengi wakisikia ukatili au unyanyasaji basi waathirika ni wanawake tu Kumbe hata wanaume ni wahanga ila makundi yote yamezidiana kwa idadi tu
Sasa kama nyie wenyewe mnashindwa kupigania na kudai haki zenu unadhani nani atawakumbuka?
 
Tukipigania mnatubeza na kutupuuza
Hata wanawake walivyoanza kupigania haki zao walikuwa wanabezwa..na hadi sasa bado wanabezwa na baadhi ya watu. Mwanzo mgumu msikate tamaa😂😂😂
 
Akuna wewe wanaume tunastahili hichi kikombe baadhi yetu wameshakuwa wajinga, mashoga na wenye chuki wao wanadhamini nyeg* tu
Baada ya ile video ya binti wa Yombo akibakwa na wanaume 5 kusambaa mitandaoni, watu walipaza sauti na wanaendelea kupaza sauti kudai haki itendeke.

Lakini, kuna video nyingine inasambaa mitandaoni na ilikuwepo kabla hata ya ile ya yule binti kusambaa, ikimuonesha jamaa mmoja akidhalilishwa kwa madai ya kutembea na Mke wa mtu.

Inasikitisha sana, maana jamaa anaonekana uso umevimba, anavuja damu, yuko uchi wa mnyama na analazimishwa kucheza taarabu huku akikata mauno. Jamaa anaomba maji, lakini ananyimwa huku akitukanwa matusi ya nguoni.

Soma Pia:

Najiuliza swali, Je, ni sahihi Mwanaume kudhalilishwa lakini siyo sahihi mwanamke kudhalilishwa?

Kwanini tunakuwa na double standards ?

Kama tunataka haki, basi haki hiyo iwanufaishe wote pasipo kupendelea jinsia moja.
 
Rudishwa shule
 
Back
Top Bottom