Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie sijawahi kuwaona kabisa
Hata mie sijawahi kuwaona kabisa
bora boss wangu anaendesha mambo yake kisasa..meneja yupo chin yake siyo yeye awe chini ya meneja..
yeye ndio kamwajiri meneja..si wa kumpelekesha pelekeshan kinjaa njaa
Msanii wa kundi la Mtanashati Intertainment Pnc,akimuomba msamaha Big boss wa kundi hilo Ostaz Juma Namusoma.
Mkuu bado iyo hai JUSTIFY kumrekodi na kutupia kwenye social N/W, hata kama huwa wanawasaidia mamilioni ya mipesa, ki busara wangeombana huko kimya kimya bila ku recordiana video, sasa wali record ili iweje??? Hivi uyo jamaa PNC si tayari watu washamzarau, Nangojea videmu vyake vione hii, lazima vimuhisi hata TIGO anatoa
bora boss wangu anaendesha mambo yake kisasa..meneja yupo chin yake siyo yeye awe chini ya meneja..
yeye ndio kamwajiri meneja..si wa kumpelekesha pelekeshan kinjaa njaa
Ulimwengu wa muziki upo simple sana,mimi
muziki najua kuimba na mashabiki wangu
wanajua mimi naweza muziki,tatizo kitu kimoja
kinachonifelisha mimi ni uongozi nilionao
haueleweki,kama ningepata uongozi ambao
unafuatilia muziki na unaujua muziki ningekuwa
mbali sana.Uongozi wa Ostaz Juma siuelewi elewi
kabisa, sijui kuna vitu vimemkatisha tamaa,hata
sielewi muziki wangu unaenda wapi? Yaani
nashindwa kuelewa kabisa,Ostaz yuko busy yaani
hata sijielewi kama nipo na Ostaz ama vipi, PNC
aliiambia Bongo5 siku chache kabla ya kutangaza
kujiondoa Mtanashati.